Some times kutafutiwa nyumba ndogo wanawake hujitakia mmoja wao ni huyu.
Ajabu kweli aisee!!kumnyima chakula hata kama angekuwa hajaleta sio vizuri mnyima labda chakula kingine ndio maana nikasema huyo dada ameanzisha ugomvi usiokuwa wa lazima
Lizzy tegemea kutokuchangiwa siku ukioa/kuolewa au utakuwa tayari umeoa/olewa?
hahahaha lizzy ni kweli kabisa wanawake wengi tunachangia hayo mambo,hata kama hana kazi but alipaswa kuridhika na kile alichojitahidi mwenzie kukileta nyumbani,kwa mwanamke mwenye akili angepikia hata kuni ama kukopa mkaa kwa siri ili kum2nzia mumewe heshima sio kumnyima chakula alichokitolea jasho.ningekua namjua huyo baba ningemtafutia dogo dogo lol
Sasa wiki iliyopita alimuomba mumewe pesa ya mkaa, mume akawa hana. Alichofanya ni kwamba amemnyima chakula (anachonunua huyo huyo mume) mpaka leo hii. Yani "kwa eaha na shida (siku hizi inabidi mchungaji akisema . . . . na shida waseme "INATEGEMEA NI ZIPI" badala ya "NDIO NAKUBALI" za kinafiki) aliyotamka imekosa matendo.
.
..........
Ahhhhh wanaume wengine mna kazi kweli aisee. . .nawapa pole wote mnaokaribia kupewa vichaa na wake/wapenzi wenu.
Kwa wale ambao bado hawajaolewa hua hawaishi kuonyesha na kuelezea namna gani wanaume walivyo wabaya hata kufanya swala zima la kuingia ndoani kuwa gumu. Walioolewa hawaishi kulalama namna waume zao walivyo wabaya ndoani hata kuona ndoa zao hazina furaha. Ila wote wanasahau kwamba kwa kiasi kikubwa wengi hua wanachangia ubaya wauonao kwa wanaume kama ambavyo wanaume huchangia ubaya (sio wote) wauonao kwa wanawake.
Kuna dada kaolewa miaka minne(4) iliyopita, na harusi yake ndo harusi pekee ambayo mimi nimewahi kuhidhuria mpaka leo hii. . .
Sina shaka kwamba alikubali mwenyewe kuolewa na siku ile aliifurahia maana alionekana mwenye furaha muda wote. Miaka minne baadae wamejaaliwa mtoto wa kike na maisha yao ni ya kawaida. Sasa wiki iliyopita alimuomba mumewe pesa ya mkaa, mume akawa hana. Alichofanya ni kwamba amemnyima chakula (anachonunua huyo huyo mume) mpaka leo hii. Yani "kwa eaha na shida (siku hizi inabidi mchungaji akisema . . . . na shida waseme "INATEGEMEA NI ZIPI" badala ya "NDIO NAKUBALI" za kinafiki) aliyotamka imekosa matendo.
Sasa mwanamke kama huyu, mume akimbadilikia au akimmwaga atamlaumu nani?Nae ataweza kusimama mahali na kusema wanaume ni watu wabaya? Kwanini asifanye shughuli ndogo ndogo nae awe anasaidia akiona mume mambo hayajamuendea vizuri sana kwenye shughuli zake?
Ahhhhh wanaume wengine mna kazi kweli aisee. . .nawapa pole wote mnaokaribia kupewa vichaa na wake/wapenzi wenu.
vyote hivyo havijalisi unyimwe chakula khaaaa!1. Je ni kweli huyo mume alikua hana pesa? (2.) hakuna mazingira yoyote aliyoyaonyesha kuwa alifanya kusudi kumnyima mkewe hela mf. Kaja nyumbani kalewa? (3) hiyo ni mara ya kwanza kushindwa kumpa mkewe hela ya matumizi?
ungefukuzia mbali, aendeYaani usipokuwa mvumilivu unaweza kumtimua fasta,mimi ishanitokea pesa ipo,mahitaji yapo ndani! kughafirika kidogo,haiingii jikoni kupika.siku nyingine kusuka mpaka usiku mkali asijue hakuna wa kupika nyumbani(msichana wa kazi hakuwepo).nikajiuliza alijua nitakula nywele? ni kweli wakati mwingine wake zetu hufanya vitu vya ajabu,uki react anakuona mbaya
Aiseee!!Mie wa kwangu hanipi chochote, hata gari yake nkitaka kupanda lazima niweke mafuta kwanza, lakini NAMPENDA tuu, tena sana. Na nikipika chakula kitamu, lazima yeye ale wa kwanza, lol. What a loving wife i am, tehe.