Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

Usimwache mke isipokuwa kwa uzinzi.
Ukimsamehe ndio utakuwa umefungulia milango ya jamaa na wengine kuichapa mpaka ichanganyikiwe?

Piga talaka, nenda zako majuu tu
 
Usije kujaribu kuchukua mwanamke wa kibongo, ukampeleka Marekani & ulaya, utajuta maisha yako yoooote.

Kule mambo ni usawa, kuna siku utarudi nyumbani unamuuliza wapi chakula atakujibu nenda kapike mwenyewe nimechoka.

Ukinyanyua mkono kumtandika hata kofi tu, hao polisi watajazana nyumbani kwako kama wewe ni Osama.

Na wanaweza wakaku depot urudi bongo milele na yeye akabaki huko anakula shushu.

Waafrica wengi wanaopeleka wake zao huko wanaishiaga kujuta
Mkuu sasa uko Maekani mambo ya usawa atajuaje kwasababu Marekani Maisha yao na sisi ni tofauti hakuna majirani wa kuongea nao kila mtu yupo busy na Mambo yake, huyo mwanamke ni Mama wa Nyumbani mambo ya haki sawa atayajua Sangapi?
 
Ni kama mzinzi mwenye wivu na mzinzi asiye na wivu hata chembe
 
Kabla hujaamua kusamehe kumbuka anko dady alivyokuwa anaichakata mbususu ya mkeo fikiria mkeo alikuwa anaipandia kwa juu ikichomoka anairudisha tena zizini.. dah pole sana mkuu mke mziNzi hafai kusamehewa hawezi kuacha uzinzi tena bila aibu anamlaza mwanaume mwingine ndani kwako kitandani kwako??
 
Kabla hujaamua kusamehe kumbuka anko dady alivyokuwa anaichakata mbususu ya mkeo fikiria mkeo alikuwa anaipandia kwa juu ikichomoka anairudisha tena zizini.. dah pole sana mkuu mke mziNzi hafai kusamehewa hawezi kuacha uzinzi tena bila aibu anamlaza mwanaume mwingine ndani kwako kitandani kwako??
Ukiwaza hivyo utapata tabu sana hapa Dunia hata mkeo unafikili achepuki na hafanyiwi hivyo
 
Yaani kama alipata NGUVU ya kumuingjza mwanaume mwingine ndani kwako hamna kitu hapo!
 
ukweli sikuwah kuhic chochote sababu wanakaa mji ambao sina ndugu na ni mbali na ndugu zangu so nikawa naona mke ninae
Uliogopa ndugu zako wataingilia ndoa yenu au!! Ulichemsha sana maana wao ndio wangekuwa walinzi na hasingefanya hayo yote.. Ingawa amedhamiria angeenda hata gesti

Hii ni stori ya kweli niko na depression take serious too
Pole sana si kuonyesha dharau hadi kuonwa na watoto pia.. Jipe Moyo una maisha mbeleni

nimalizie tu ya tatu au?je akija huku si yatakua hayohayo tu?na nimeondoka si jamaa ataendelea kupiga?nifanyeje? Hii ni stori ya kweli niko na depression take serious too
Eeeh ukimbeba huyo kuja ulipo unalo.. Si unajua sheria za nchi zilizo endelea.. Yaani atakukaanga maana tayari ame chiti kumaanisha hakupendi. Hapo anataka umpeleke akuonyeshe ambayo utajua na hivi bado u najiuliza maswali kwa kumpenda. Utalazwa wodini. Muache alipo weka visingizio.. Tafutia watoto shule nzuri watakuwa utawapeleka wao.. Watunze maisha yasonge
nimefikia gest nikajibana siku mbili nikiwa na huyo beki tatu nikaona nijipoze hasira kwanza
Hii naona haiku kusaidia, umepima magonjwa?
 
Mkuu sasa uko Maekani mambo ya usawa atajuaje kwasababu Marekani Maisha yao na sisi ni tofauti hakuna majirani wa kuongea nao kila mtu yupo busy na Mambo yake, huyo mwanamke ni Mama wa Nyumbani mambo ya haki sawa atayajua Sangapi?
Mtandaoni
 
Mwanamke ataacha watoto?
Na kwanini amuachie mtu mwingine amlelee watoto ili hali yeye yupo?
Yani kwa mfano wewe kumuachia Baba watoto ili aishi na watoto na kulea ni kumuania mtu mwingine? inamaana Baba hana haki ya kulea watoto wake?
Kwa kesi kama ya huyu mdau inawezekana akamtimua huyo mke wake na kumuoa huyo Dada wa kazi kwanza anakua anapendwa na Watoto na wamemzoea kwahiyo wataishi vizuri sana
 
jaman?mke anasema bado ananipenda sana na kwa vitendo nathibitisha ni kweli , nimalizie tu ya tatu au?je akija huku si yataku
Mkuu hii kauli yako hii itakula maisha yako daima bwana mdogo acha acha kwa amani ya moyo tushayaona hayo angekupenda angekuheshimu alafu kwenye kitanda chako ndugu? Na kamla mpaka tigo huyo muhuni sasa shauri yako hao hawataacha kwa sababu washakuona dhaifu watatafutana tu sana sana watabadilisha mbinu za kukutana
 
Huyo jamaa atakuwa anajiachia sana,
Vile anajua jamaa yuko states.
 
Yani kwa mfano wewe kumuachia Baba watoto ili aishi na watoto na kulea ni kumuania mtu mwingine? inamaana Baba hana haki ya kulea watoto wake?
Kwa kesi kama ya huyu mdau inawezekana akamtimua huyo mke wake na kumuoa huyo Dada wa kazi kwanza anakua anapendwa na Watoto na wamemzoea kwahiyo wataishi vizuri sana
Sijasema baba mtoto
Umesema kwa kua hausg kazoeana na watoto hivyo
Ndo abaki mama mtu au aondoke bila watoto
Unajua tunabaki na ulemavu kuwaleta hawa viumbe dunian
Alafu uje uwaache watoto wako walelewe na msichana wa kazi wewe uondoke
Are you for real???
Abaki nae tu hausg au aondoke nae ila watoto wakae na mama yao
Usiwaingize kabisa kwenye swala la watu wazima walioamua kuzini hovyo hovyo
Watoto wanabak na mama
Hausg aende au abaki na baba
Simple
Mkuu usichukulie poa watoto under age walelewe na mtu mwingine
Watu ni wakatili sana dunia ya sasa
 
Muite huko uliko,Maana fimbo ya mb
Salaam wakuu,
Mada hapo juu yahusika...basi bana baada ya kukaa America miaka miwili kasoro nilirud nyumbani kuona familia, ikumbukwe toka kipindi chote hicho mimi na wife tumekuwa tukiongea sana zaidi hta ya mara 8 kila siku pamoja na changamoto ya kupishana masaa, ukweli sikuwah kuhic chochote sababu wanakaa mji ambao sina ndugu na ni mbali na ndugu zangu so nikawa naona mke ninae

Basi bana ikatokea bahati kuna ndugu yangu nikamtuma akaenda kimya kimya wife akaleta vurugu sana et kwann kaja bila taarifa akamfanyia visa sana yule ndugu yangu akaondoka kumbe alimuachia namba beki tatu

Beki tatu kwa siri akaanza kufunguka kumbe na jamaa huwa anakuja usiku mara kwa mara analala,anapikiwa, anafuliwa na kupigiwa pasi na yeye alidhani huyo jamaa ndo mimi ila alistuka mbona watoto wanyonge?ndo kamwambia ndugu yangu , nikaambiwa nikapewa namba ya huyo beki tatu nikaongea nae asee ni kweli na watoto wameambiwa wamuite ankodady

Nimeenda likizo kimyakimya beki tatu akaogopa akasepa nimefikia gest nikajibana siku mbili nikiwa na huyo beki tatu nikaona nijipoze hasira kwanza.kaniambia kila kitu ni mbaya sana usiombe wadau, siku kama wiki wife hanipati kumbe nishatua kitambo, nikamvamia usk wa manane fungua mlango anatetemeka kukagua hamna kitu, cheki simu hamna kitu, nikaona usinitanie nikampiga talaka 2 kwanza nimtishe sababu alianza dharau, mbele ya mashahidi akakiri ni kweli ila hajawah kulala anamtembeleaga tu, mbaya zaidi nikamwambia muite kampigia jamaa yuko njiani mashahidi wakasema achana nae utajipa kesi hata kwa trump usirud uharibu future yako, mtoto wa kiume anasema ni kweli jamaa anakuja , nasikia akija wanalala ndani jamaa anapelekewa kila kitu sa zingine mpk sa tano asbh ndo anaondoka

Nilikaa nae ndani baada ya hizo talaka sababu sheria inatutaka tukae miez mitatu ndo nitoe uamuz kwamba zinakua tatu au mbili hizohizo, nimekula sana mzigo(ilibid) awali miez miwili kabla sijaenda nilikata matumiz hta watoto walichelewa shule wiki 4 ada haijalipwa

Huyu mwanamke anase alijua sitorud tena ameomba msamaha na naona pamoja na hayo anapambana ki ukweli hta pesa namzomtumia za ujenz amesimamia kwa 100% nimejionea, watoto wanakula, wanaenda shule, nyumba safi iko vizur, ila kwa alichokifanya nimerud huku likizo imeisha ilikua mwez tu moyo una kinyongo na naona daima itakua hivyo kifup moyo umegoma kusamehe pesa napata kwa tabu aisee imeniuma sana, nifanyeje jaman?mke anasema bado ananipenda sana na kwa vitendo nathibitisha ni kweli , nimalizie tu ya tatu au?je akija huku si yatakua hayohayo tu?na nimeondoka si jamaa ataendelea kupiga?nifanyeje? Hii ni stori ya kweli niko na depression take serious too
Ya mbali nayo!
 
Back
Top Bottom