Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

Msamehe kwaajili ya watoto kwa mashart maalumu
 
Miaka miwili +, msamehe maisha yaendelee mbele!
 
mke anasema bado ananipenda sana na kwa vitendo nathibitisha ni kweli , nimalizie tu
Angekuwa anakupenda ungetombewa??

Usiwe mjinga mzee achana na huyo mwanamke haraka mlee watoto tu

Ukiondoka mwamba ataendelea kuichapa hata kama sio hapo home kwako


Kwanza kitendo cha kumleta mwanaume ndani kwako kwenye kitanda chako ni dharau kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…