Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

Utaamini taratibu taratibu
 
wewe ni sikio la kufa husikii dawa.
 
Pole sana. Msamehe tu huyo, ni hali ya kibinadamu kuteleza katika hali kama hiyo. Ana hisia pia za kimapenzi tena ukizingatia pia kwa mda mrefu kiasi hicho bila kuwa pamoja vishawishi vinazidi kuwa vingi. Mimi naona anakupenda, Bora umsamehe na kusahau.
 
msamehe ili nawe usamehewe
 
Aya maneno walisema wazee wa zamanii kugongewa ni Siri ya ndani...all in all Malaya marufuku kumsamehe...mpe talaka fasta utaenda jela kwa kesi ya mauji.....mwanakulitafuta mwanakulipata....sa umetembea na beki tatu ukachomeka kwa mkeo Malaya condom hukuvaa we ukimwi unauchukulia poa....kwenye maisha acha kutumia hisia tumia akili..litakolyako.
 
Niligundua kwa wakati ule sitampa talaka tatu so nilikua nafidia pesa zangu za matumiz nilizompa, sasa nimeondoka nimemwacha inauma ila Wakenya , Waganda, Wanigeria haya majamaa hayana wivu na hwachunguzi wanaita Bibi et bora tu arudi nyumbani, sisi tuna wivu sana tuko hivyo
 
Ulichokifanya siyo fair. Muda uliokaa mbali ilibidi uheshimu nyege zake na umtaarifu mwezi mzima kabla hujarudi ili ajiandae kukupokea.
Wamasai wakikuta mkuki mlangoni wanaenda kuendelea na kahawa hadi nkuki utakapoondolewa.
Samehe huyo mkeo na hukutakiwa kufanya hayo sababu ulikuwa mbali. Kama umeikuta haina gono wewe endelea tuu as if nothing happened. Ila kama atafanya hayo ukiwepo hapo hakuna msalie Muhammad.
 
Dah!! Nina kinyongo hichi sidhani kama kitaisha aisee
 
Ndoa za Kiislamu ya kipumbavu sn hiyo miezi mitatu ya kujitafakari ndio imekuumiza unataka kumpa huruma, mtu kakuvua nguo kukuletea mwanaume kitandani mwako, nyumba yako ni danguro ? angekuwa anakuheshimu angetombwer kwenye kitanda ulichonunua wewe ? huyo ungempiga red card siku hiyo hiyo, tatizo nyie wanaume wa dar mna akili sawa na huyo mke wako anayefirwa kitandani mwako !
 
Tulipima ukimwi n.k tuko fresh , hata Magonjwa ya zinaa tuko fresh
 
Usije kujaribu kuchukua mwanamke wa kibongo, ukampeleka Marekani & ulaya, utajuta maisha yako yoooote.

Kule mambo ni usawa, kuna siku utarudi nyumbani unamuuliza wapi chakula atakujibu nenda kapike mwenyewe nimechoka.

Ukinyanyua mkono kumtandika hata kofi tu, hao polisi watajazana nyumbani kwako kama wewe ni Osama.

Na wanaweza wakaku depot urudi bongo milele na yeye akabaki huko anakula shushu.

Waafrica wengi wanaopeleka wake zao huko wanaishiaga kujuta
 
Hapana hiyo nyumba walihamia nikiwa sipo nimefika ni mgeni na tulila chumba kingine, kitanda chake na godoro nimeviuza vyote ili alale na watoto na hakuna kununua godoro au kitanda kingine
 
Sasa huyo hatakua mke tena , miaka na miaka hapana mnaungana tu sema unakua una tahadhari.
 
Wewe ndio kibuD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…