Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

Salaam wakuu,
Mada hapo juu yahusika...basi bana baada ya kukaa America miaka miwili kasoro nilirud nyumbani kuona familia, ikumbukwe toka kipindi chote hicho mimi na wife tumekuwa tukiongea sana zaidi hta ya mara 8 kila siku pamoja na changamoto ya kupishana masaa, ukweli sikuwah kuhic chochote sababu wanakaa mji ambao sina ndugu na ni mbali na ndugu zangu so nikawa naona mke ninae

Basi bana ikatokea bahati kuna ndugu yangu nikamtuma akaenda kimya kimya wife akaleta vurugu sana et kwann kaja bila taarifa akamfanyia visa sana yule ndugu yangu akaondoka kumbe alimuachia namba beki tatu

Beki tatu kwa siri akaanza kufunguka kumbe na jamaa huwa anakuja usiku mara kwa mara analala,anapikiwa, anafuliwa na kupigiwa pasi na yeye alidhani huyo jamaa ndo mimi ila alistuka mbona watoto wanyonge?ndo kamwambia ndugu yangu , nikaambiwa nikapewa namba ya huyo beki tatu nikaongea nae asee ni kweli na watoto wameambiwa wamuite ankodady

Nimeenda likizo kimyakimya beki tatu akaogopa akasepa nimefikia gest nikajibana siku mbili nikiwa na huyo beki tatu nikaona nijipoze hasira kwanza.kaniambia kila kitu ni mbaya sana usiombe wadau, siku kama wiki wife hanipati kumbe nishatua kitambo, nikamvamia usk wa manane fungua mlango anatetemeka kukagua hamna kitu, cheki simu hamna kitu, nikaona usinitanie nikampiga talaka 2 kwanza nimtishe sababu alianza dharau, mbele ya mashahidi akakiri ni kweli ila hajawah kulala anamtembeleaga tu, mbaya zaidi nikamwambia muite kampigia jamaa yuko njiani mashahidi wakasema achana nae utajipa kesi hata kwa trump usirud uharibu future yako, mtoto wa kiume anasema ni kweli jamaa anakuja , nasikia akija wanalala ndani jamaa anapelekewa kila kitu sa zingine mpk sa tano asbh ndo anaondoka

Nilikaa nae ndani baada ya hizo talaka sababu sheria inatutaka tukae miez mitatu ndo nitoe uamuz kwamba zinakua tatu au mbili hizohizo, nimekula sana mzigo(ilibid) awali miez miwili kabla sijaenda nilikata matumiz hta watoto walichelewa shule wiki 4 ada haijalipwa

Huyu mwanamke anase alijua sitorud tena ameomba msamaha na naona pamoja na hayo anapambana ki ukweli hta pesa namzomtumia za ujenz amesimamia kwa 100% nimejionea, watoto wanakula, wanaenda shule, nyumba safi iko vizur, ila kwa alichokifanya nimerud huku likizo imeisha ilikua mwez tu moyo una kinyongo na naona daima itakua hivyo kifup moyo umegoma kusamehe pesa napata kwa tabu aisee imeniuma sana, nifanyeje jaman?mke anasema bado ananipenda sana na kwa vitendo nathibitisha ni kweli , nimalizie tu ya tatu au?je akija huku si yatakua hayohayo tu?na nimeondoka si jamaa ataendelea kupiga?nifanyeje? Hii ni stori ya kweli niko na depression take serious too
Boli linatembea

Pole sana kaka. Hii ni stori nzito, inauma, inavunja moyo na inaumiza hata mtu wa pembeni kuisoma. Naelewa unavyojisikie kuhisi umethamini mtu kwa moyo mzima, ukamsaidia, ukamwamini, halafu akaamua kukuvunjia heshima namna hii. Hakuna mwanamume mwenye akili timamu anayeweza kuichukulia hivi poa tu.

Sasa kuhusu swali lako uendelee naye au uachane naye? Nitakushauri kwa busara, sio kwa jazba. Hii si stori ya drama, ni maisha halisi.

Mambo ya Msingi ya Kuzingatia:

1. Amevunja uaminifu.

Mkeo aliletwa maishani mwako kwa heshima, ulinzi na mapenzi.

Kwa mujibu wa maelezo yako, alijua kuwa yule mwanaume si wewe, lakini alimruhusu aje, alale, ale, avae, apendelewe... ndani ya ndoa yenu.

Na mbaya zaidi, aliwafundisha watoto wamuite "uncle daddy" – hii ni kifo cha heshima ya baba.

2. Mwanamke akichukulia mumewe hayupo tena, moyo wake umeshaondoka.

Alikupenda kama unavyosema? Sasa mapenzi yapi yanasababisha uvunje heshima ya ndoa hivi kiasi hicho?

Mapenzi ya kweli yanaficha kosa, lakini mapenzi ya kinafiki yanaficha wanaume wengine.

3. Anaomba msamaha kwa sababu ameumbuliwa, sio kwa sababu ameguswa moyoni.

Anaomba msamaha baada ya kufumaniwa, si kabla.

Huyu si mwanamke aliyeguswa na kosa lake bali anaogopa kupoteza ulaji wake.

Kumbuka ulisema: “Alijua sitarudi tena.” Hii inaonyesha moyo wake haukuwa kwako.

Sasa: Uendelee au Uachane Naye?

Usikurupuke kwa jazba wala kwa huruma. Tafakari haya maswali:

Je, unaweza kuishi naye ukiwa na chuki moyoni miaka yote?

Je, uko tayari kukaa naye huku mwanamme mwingine akishaingia pale na tayari ameshachukua nafasi yako kwa watoto?

Je, utaweza kuendelea kumheshimu baada ya usaliti wa namna hii?

Kama majibu ni HAPANA – usiendelee.

Kama moyo wako unaweza kusamehe kiukweli – endelea, lakini usirudi kimazoea.

Ushauri wa Moja kwa Moja:

1. Kama huna amani, achana naye. Amani ya moyo haina bei. Hakuna ndoa yenye thamani zaidi ya afya ya akili yako.

2. Chukua muda mrefu zaidi kabla hujatoa talaka ya tatu. Tafuta ushauri wa kitaalamu (psychologist, Sheikh au Padre – kulingana na imani yako). Siyo uamue kwa hasira au kwa huruma.

3. Weka watoto mbele ya kila uamuzi. Usimkomoe kwa kukata matumizi ya watoto, ni mali yako. Lakini usikubali pesa zako ziwafae wanaume wa nje!

4. Akili na uchungu wa sasa usikufanye uingie kwenye mkumbo wa kulipiza kisasi au kutafuta beki tatu mwingine. Utajiharibia zaidi.

Mwisho wa siku:

Kukiwa na usaliti wa kiwango hiki, mwanzo mpya ni bora kuliko kulazimisha historia iliyooza.

Samahani haina maana kama haina toba ya kweli.

Kama alifanya haya kwa amani bila kujua kama utarudi si mke wa maisha, ni mke wa muda.

Ukiamua kuendelea naye, usifanye hivyo kwa sababu ya watoto au huruma. Fanya kwa sababu moyo wako umepona, umesamehe, na uko tayari kuanza Upya vitu ambavyo kwa sasa, kwa maelezo yako, havipo.
 
Umekaa ughaibuni hata kuandika kiswahili kilichonyooka changamoto.
Nikiangalia mtiririko wa story hii tumepigwa za kichwa.
By the way wazima hapo kwa Dada ako?
 
Mdogo wangu aligongewa mke wake na jamaa mmoja wa Tiss aliyekuwa mlinzi wa Pinda badae wa Majaliwa. Mke wa mdogo wangu walisoma na huyo jamaa kazima secondary school Tabora long time.
Badae shemeji yangu alienda kusoma St John Dodoma ndipo walipokutana tena na x wake wakaanza kupasha kipolo jamaa anaenda kulala kabsa kwa shemeji yangu.
Dogo alipogundua alilia sana akamhoji mwanamke akakiri then dogo akaanza kumsaka jamaa maana familia ya jamaa ilikuwa inaishi makumbusho kwenye makazi ya usalama wa taifa.
Dogo siku moja katia timu kwenye magorofa yale maana alitaja jina kuwa anaenda kwa fulani akakuta jamaa hayupo alikuwa kwenye kozi fulani kwenye chuo chao cha usalama kwa wiki mbili then dogo kamuulizia mke wa jamaa akaambiwa ametoka dogo akaomba namba ya simu ya mke wa jamaa.
Wakawasiliana wakakubaliana wakutane pale nje ya geti la usalama kulikuwa na bar inaitwa Simba kapakatwa. Basi mke wa jamaa alipotoka kazini wakainana pale na dogo...dogo akasimulia kila kitu kwa wife wa jamaa.....
Kule kwenye kozi jamaa walikuwa hawaruhusiwi kukaa na simu alikutana na msg za mkewe ambaye nae ni usalama wa taifa aliyekuwa kwenye kikosi cha ulinzi Kikwete mwishoni mwa utawala wa Kikwete na badae kwa mama Samia mpaka leo..
Dogo badae alianza kula ule mzigo mpaka leo...NIMEFUPISHA NIMECHOKA KUANDIKA
 
Umesahau kusema hadithi yetu inatufundisha nini?
 
Salaam wakuu,
Mada hapo juu yahusika...basi bana baada ya kukaa America miaka miwili kasoro nilirud nyumbani kuona familia, ikumbukwe toka kipindi chote hicho mimi na wife tumekuwa tukiongea sana zaidi hta ya mara 8 kila siku pamoja na changamoto ya kupishana masaa, ukweli sikuwah kuhic chochote sababu wanakaa mji ambao sina ndugu na ni mbali na ndugu zangu so nikawa naona mke ninae

Basi bana ikatokea bahati kuna ndugu yangu nikamtuma akaenda kimya kimya wife akaleta vurugu sana et kwann kaja bila taarifa akamfanyia visa sana yule ndugu yangu akaondoka kumbe alimuachia namba beki tatu

Beki tatu kwa siri akaanza kufunguka kumbe na jamaa huwa anakuja usiku mara kwa mara analala,anapikiwa, anafuliwa na kupigiwa pasi na yeye alidhani huyo jamaa ndo mimi ila alistuka mbona watoto wanyonge?ndo kamwambia ndugu yangu , nikaambiwa nikapewa namba ya huyo beki tatu nikaongea nae asee ni kweli na watoto wameambiwa wamuite ankodady

Nimeenda likizo kimyakimya beki tatu akaogopa akasepa nimefikia gest nikajibana siku mbili nikiwa na huyo beki tatu nikaona nijipoze hasira kwanza.kaniambia kila kitu ni mbaya sana usiombe wadau, siku kama wiki wife hanipati kumbe nishatua kitambo, nikamvamia usk wa manane fungua mlango anatetemeka kukagua hamna kitu, cheki simu hamna kitu, nikaona usinitanie nikampiga talaka 2 kwanza nimtishe sababu alianza dharau, mbele ya mashahidi akakiri ni kweli ila hajawah kulala anamtembeleaga tu, mbaya zaidi nikamwambia muite kampigia jamaa yuko njiani mashahidi wakasema achana nae utajipa kesi hata kwa trump usirud uharibu future yako, mtoto wa kiume anasema ni kweli jamaa anakuja , nasikia akija wanalala ndani jamaa anapelekewa kila kitu sa zingine mpk sa tano asbh ndo anaondoka

Nilikaa nae ndani baada ya hizo talaka sababu sheria inatutaka tukae miez mitatu ndo nitoe uamuz kwamba zinakua tatu au mbili hizohizo, nimekula sana mzigo(ilibid) awali miez miwili kabla sijaenda nilikata matumiz hta watoto walichelewa shule wiki 4 ada haijalipwa

Huyu mwanamke anase alijua sitorud tena ameomba msamaha na naona pamoja na hayo anapambana ki ukweli hta pesa namzomtumia za ujenz amesimamia kwa 100% nimejionea, watoto wanakula, wanaenda shule, nyumba safi iko vizur, ila kwa alichokifanya nimerud huku likizo imeisha ilikua mwez tu moyo una kinyongo na naona daima itakua hivyo kifup moyo umegoma kusamehe pesa napata kwa tabu aisee imeniuma sana, nifanyeje jaman?mke anasema bado ananipenda sana na kwa vitendo nathibitisha ni kweli , nimalizie tu ya tatu au?je akija huku si yatakua hayohayo tu?na nimeondoka si jamaa ataendelea kupiga?nifanyeje? Hii ni stori ya kweli niko na depression take serious too
Kabla hatujaenda mbali nikuulize swali. Wewe kwa muda wote huo huko nje hujapiga paipu mahali mkuu?
 
Maliza tatu zote Mwanamke anicheat Hana jipya Tena fukuza atakuwa huyo namana kama Mimi natoka na mkeo namwambia muue mme wako kwa sumu ili tuishi kwa amani
 
Back
Top Bottom