Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

dawa ni kumpiga chini tu
 
Vitu vingine muwe msamahe tu .... hivi wewe huku marekani hujapiga kweli ....

mi niliwahi kusema mahali hakuna mwanadamu atakufa anakula mb⭕⭕ moja au kum@ moja lazima atachepuka tu...swala je akichepuka heshima ipo .... je atafanya ujue ....na kama ukijua atakiri kosa na kuomba msamaha ...ila weka akilini kuchepuka ni lazima scientifically proven .. even biological studies support fact kuwa kuchepuka lazima sababu homo sapiens ni 1 to many ...kuna viumbe 1 to 1 .kama njiwa .... ila home sapiens ni 1 to many kwenye sex lazima mshee

Mwanadamu in natural ni monogamous hupenda kuchanganya radha ya vikojoleo .....kaa ukijua lazima mkeo acheat tu ....hata wewe unasema hacheat ipo siku tu au tayari hujui tu...
 
Jamani kwa dunia yaleo binafsi ningekushauli uwe makini namaamzi yako kwanza kwa yaliyotokea bado uko nae haina shaka unampenda naumekili anasimamia familia vizuri mpe nafasi mkuu sio kila mtu akifanya hivo nimalaya achana namaneno yahum wengi wao wake zao wanafanya haya labda hawagundulika tu
 
Ila kuna wanaume wana roho ngumu sana, unalalaje kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio tena yenye familia kabisa?

Huyo sio wa kuendelea nae, ila wadau mnaoishi mbali na wake zenu mnagongewa sana. Hiki kisa chako kama cha bidada fulani hivi nae mmewe yupo mambele, alirudi bila taarifa akafumania. Au ni hichi mkuu mkeo jina linaanza na L?
 
Huyu ni mwanaume mshenzi sana badala atafute ufumbuzi ndiyo anaongeza tatizo
 
No mimi sikukuta mtu, usiombe inauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…