Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

Mr Al 😹
 
Huyu jamaa anatuona sisi Nyumbu eti?
 
Kwanza kaa Chini mkuu kaa kwenye bench tukushauri wakubwa wako usiwe na jazba sana mkuu eeh
 
Wadada wa kazi Wana nyege sana na wanashika mimba haraka mno...Hana mimba kweli huyo binti wa kazi?

Ila mkuu nifanyie bas mpango wa us kazi huko ..
 
Doh pole mkuu I'am soon to be a victim nna mpango wakua illigal migrant nchi za watu home naacha mke na mtoto nikiwaza naishiwa power kabisa
Kitu ambacho kinanifanya nisitoroke au kijilipua ni familia. Put your family first.

Ukienda nje ya nchi kama illegal migrant,
Hauna uhakika wa kazi wala maisha bora — ni kama kukimbilia mateso mengine.
 
No 3 ya msamaha inaweza kua kweli , kwao kuna maisha magumu na alikataa kabisa kurudi kwao ilibid nitumie nguvu ila baba ake alimkataa akasema sheria nikae nae mpk mda wa uangalizi upite so tulienda kwao ikabid tugeuze nia yangu ilikua nimtupe huko miez 6 ajue uchungu wa kutafuta pesa ndo ilishindikana na mimi natakiwa nirud kazin so imebid tu nimuache hapohapo.
 
Ila hapo ushaeka uadui Kwa ndugu yako ..haezi kuambia tena jambo kama Ili tena maana anajua ushashikwa
 
Ukiwa kama mwanaume rijali una msimamo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…