Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

Chai ya maziwa na asali kidogooo 😀 😀 😀
 
Sawa mkuu lazima tuwe na wasiwasi mana Series zimekuwa nyingi mno sikuhizi.
Kwakua umeapa kwa chanzo chako cha kuaminika it's fine.
Ni kweli kabsa huyu jamaa baba yake alikuwa anafanya kazi Ikulu Tabora by then miaka ya 90 ni wenyeji wa Dodoma.
Na mke wa dogo walionana na wadogo zake jamaa pale Dodoma St. John ndo ukawa mwanzo wa hilo penzi.
Na huyo jamaa wa Tiss kama sijakosea yupo TRA sasa hivi.kuna mwenzie walikuwa nae kwa Pinda badae alihamishiwa kwa Makamu wa rais wakati huo Dr. Garib Bilali badae nikawa namuona kawa kamanda msaidizi wa kikosi cha kudhibiti madawa ya kulevya pamoja na huyu Mkurugenzi wa NIDA sasa hivi.
Nilisha kaa na dogo pamoja na mke jamaa Mwanza.,....wakati huo mke wa jamaa alikuwa anatoa VIP protection kwa aliyekuwa Katibu wa SADC ambaye waziri wa Ulinzi wa sasa mama Stegomena...huyo mama alikuwa ameenda kwao Magu
 
Unauliza kufanyeje Mkuu?

Basi msamehe tu Kwa vile unaamini anakupenda. Pia uwe mvumilivu na huyo Mtu wake anayekuja kulala naye ukiwa haupo..
 
Mwanamke anasamehewa vyote lakini si usaliti kaka kama kuna usaliti umetendeka na mwanamke kwanza hakuna mwanaume anaevumilia usariti hivo ushauri wangu achana nae atakuja akuue ila familia yako ilee kwa mapenzi yote
 
Tema mate chini mkuu, unaweza kufumania live kabisa na ushindwe kutoa talaka , ukweli nahitaji kutuliza akili sana hayo ni maamuz mazito.
Mpe talaka kwa maslahi ya afya yako ya akili maana hata usipompa hutomsamehe. Ni ngumu sana mwanaume kumsamehe mwanamke aliyethibitisha kuwa ni mzinzi. Wiring yetu ni ngumu kulikubali tukio la uzinzi na kusahau, unless tayari una tatizo unamuhitaji mwanasaikolojia.

NB: Ukiishi naye anaweza akaja fanya tukio la kawaida tu ukamhisi vibaya hizo hisia zikachanganyikana na historia ya fumanizi ukamuua bila kukusudia.
 
Msamehe sababu
Amsamehe kwa kumpa takaka asiwe mkewe.
1. Ulikosea kula tena mzigo.
Hata baada ya talaka anaweza kumla tu maana keshathibitisha ni mwanamke rahisi kuliwa, mwanamke anayejiheshimu hata nyege zipande kichwani hawezi leta mwanaume kwenye nyumba ya mumewe iliyo na watoto wao na kuwatambulisha watoto kabisa. Huyo ni bad news.
2. Ulikaa naye nyumba 1 baada ya kosa.
Kosa linarekebishika kwa talaka ya 3.
3. Ulikubali kumsikiliza anavyo jiliza msamaha.
Sahihi.
4. Mlee watoto wenu pamoja, watoto wanahitaji sana malezi ya wazazi wote, do it for them.
Mnaweza kulea bila ndoa. Kuishi pamoja kinafiki ni hatari zaidi kwa watoto, mtagombana tu na watoto watashuhudia.
5. Hata ukioa mwingine lazima utamkumbuka tu(mazoea ni ulemavu wa akili).
Wamezaa pamoja, nafasi yake ni ya milele kama mzazi mwenza, hii inatosha.
HITIMISHO ZURI MNO NA SABABU SAHIHI YA TALAKA YA MWISHO.
 
Huyo malaya kuna jamaa juzi alihojiwa kwenye simulizi na sauti alikaa gerezani miaka 17 ila alipotoka jela mke wake kamkuta hajaolewa wala haja zaa tena zaidi ya watoto aliopata na mwamba kwenye ndoa kitu kikubwa ni heshima hata kama anachepuka basi awe na staha sio hivyo kila mtu anajua mkuu utakuja kuua kama yule jamaa wa mwanza alimpiga mke wake risasi.
 
Jinga Yaani unaona then unakwenda Abroad huo ufala siwezi kufanya mwanamke ukimuacha peke yake muda mrefu lazima Alombwe ,

Na wao wanahisia na wanasikia nyege tena usipime so wakati huo ambao Ulipokuwa nje huko ulitaka mwenzio akisikia genye Alombwe na nani !?

Wewe ndio mwenye makosa mkuu sio huyo mwanamke kosa lako kuu ni kumuoa mwanamke na kumuacha peke yake halafu Huku ukiamini kwamba hatolombwa wakati papuchi Ina muwasha na yeye anataka kuliwa kwani mkuu uliambiwa kuwa mwanamke anaolewa ili aje kukuzalia tu na kukulelea watoto !?


Binafsi mpaka Leo Huwa Nina washangaa wanao oa wanawake halafu Wana Waacha na kwenda abroad kutafuta Maisha Huwa Nina waona wanakichaa
 
Dah!! Nina kinyongo hichi sidhani kama kitaisha aisee
Walivyo hao watu umeondoka ipo siku 'uncle dad' atakuja Tena kuendeleza alipo achia.
Ngumu kutorudia labda wakae mbali sana wapoteze mawasiliano.
 
It has been a while Carleen
 
Kataa Ndoa na Stori za kutunga bado hamjatupata. Hatuvunjiki moyo na Ndoa tunaoa kila siku.
 
Doh pole mkuu I'am soon to be a victim nna mpango wakua illigal migrant nchi za watu home naacha mke na mtoto nikiwaza naishiwa power kabisa
Uko wapi niwe nakuangalizia familia
 
Pole sana kwa kugongewa mkuu, jaribu kuvuta picha the moment mkeo anairudisha ndani mkuyenge wa jamaa baada ya kuchomoka. Pili vutia picha muda jamaa anataka kuachia wazungu, mkeo vile alikuwa anakata viuno na kuyageuza macho yake. Aaaaagh kmmk hapana
 
Kwa vile nyie mnafanana tabia msamehe mlee Watoto pamoja, inapotokea Baba na Mama kutengana Watoto huwa wanapata shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…