Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

Wasiwasi Wako Tu....Mbona Na Wewe Umebonda Hausigeli Au Kwako Sahihi Kwa Mwenzio Vitimbi Viingii....
 
Usiwe serious sn wanawake kutombesha nje ni kawaida sn wengi wanagongewa sema hawajui wanajifariji tu, chukulia easy tu mradi hujawakuta redhanded.
 
Kosa ulilitengeneza mwenyewe hutakiwi kumlaumu mwanamke. Kwa vile kosa ni lako unatakiwa umsamehe muendelee kutunza familia. Kama angesababisha yeye hilo kosa basi ungempa talaka na hili liwe funzo kw wanaume wote mnaoacha wake zenu miezi kadhaa had mwaka yeye si malaika. Ana hisia kam ulivyo wewe mwanaume na anapenda ukizingatia mwanamke anatongozwa mara 10 kw siku ivo kuna mshale lazima utatua tu hiyo 9 ataikwepa.
 
Hiyo situation ni tense pole sana ilinikuta nikabaki hata sijui niamue Nini niliacha nature iamue
 
Tema mate chini mkuu, unaweza kufumania live kabisa na ushindwe kutoa talaka , ukweli nahitaji kutuliza akili sana hayo ni maamuz mazito.
Kwa sisi wakristo, kosa ambalo halihitaji mjadala ni la uzinzi. Once unajua mwenza wako ni kahaba ndoa imeisha hiyo. Sasa wewe umeshajithibitishia mkeo analiwa halafu still unaomba ushauri? Haupo serious wewe. Then unaenda kumgonga house girl wako! Wewe, mkeo na huyo mfanyakazi wenu wote ni wazinzi 100%
 
Hili nalo neno mwanawane. Asijichanganye kabisa wale washenzi wanabase sana upande wa wanawake
 
Unaweza ukamuacha kama unaona moyo wako hautaweza kusahau lakini umeyachokonoa mwenyewe.
Ila ukumbuke ya kwamba hata ukioa mwingine ukisafiri na yeye pia lazima atamtafuta mtu wa kumuondoa upwiru,ni ngumu sana uishi nje ya nchi mwaka mzima halafu mwanamke avumilie kipindi chote hicho hapo unajidanganya wewe chukulia tu ni mlezi wa watoto wako mambo ya wivu weka pembeni.
Au uchague moja kati ya ndoa au kazi ya nje ya nchi
 
Kifupi wote ni shindikana, sjui hizo hasira anazitoa wapi na povu kama lote ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…