Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

Tafuta mke wa jamaa mle mithili ya samaki na hakikisha na yeye anajua. Iko hivi mwiba hutolewa kwa mwiba.
 
Kwenda kutafuta pesa mbali na familia hakuwezi kumpa uhalali mwanamke kusaliti ndoa, tena kuleta hadi nyumbani hii ni zaidi ya dharau ! Yaani amekudharau mpaka watoto wako kawaonesha baba yao mwingine as if wewe umekufa ( totally replaced)
Kama kafanya huo usaliti ukiwa kibaruani assume ukifungwa jela itakuwaje? Wapo wanawake wanawavumilia waume zao hata wakifungwa jela, mwanamke hatoi penzi kwa mwanaume asiyempenda na asiye na hisia nae, fukuza huo mwanamke vinginevyo atakuuwa,
 
Nani kakwambia nasumbuliwa na kiingereza kibovu namna hiyo?
Njoo ubishane na wenye lugha yao mshamba mmoja wewe, nilikuonaga zipo mwanangu kumbe na wewe kavu tu..!!
sibishani na wewe tena baada ya hili ‘mmarekani’..!
 
Na aache kisebengo, atulie walee watoto wao. Amepewa wa kufanana nae.
 
sasa unahangaika nini ku quote watu kama husumbuliwi..!?
jifunze kujali mambo yako kijana..!
Unaguswa kidogo maneno meeeengi…, nilikuwa nakupima tu kama una kazi au huna, kumbe jobless kama mimi maana mida hiyo unajibizana mtandaoni ni ya kazi

Alafu mimi si kijana, mbegu zangu zimekomaa nakutandika hata pacha wawili ndani ya round moja
 
Kwa mtazamo wangu Mwanamke au Mwanaume hawezi kukaa miaka 8 bila mahusiano alichokosea yeye ni kuweka wazi mahusiano yake
 
Mapenzi hayashauriki, usikilize moyo wako japo mwanamke msaliti hasameheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…