Dah! yani usiku wa kuamkia leo sijalala kwa raha kabisaaa

Dah! yani usiku wa kuamkia leo sijalala kwa raha kabisaaa

Wapendwa!!!

Mimi ni shabiki wa simba damu
Ila Nmeota hivi
Al Masry-Simba 0-2
T.Rollers v Yanga 1-1
.
.

Wapendwa hapa kichwa kinauma kwa mawazo kwanini jirani zangu wafungashwe virago ilhali lile bwawa lao pale panapofugwa vyura hapapitiki kwa mafuriko?? Inauma sana....kiukweli ndoto hii naikemea kama pepo [HASHTAG]#lishindwe[/HASHTAG]
Zile sare za jangwani swimming pool zinafananaje kumbe
 
Wapendwa!!!

Mimi ni shabiki wa simba damu
Ila Nmeota hivi
Al Masry-Simba 0-2
T.Rollers v Yanga 1-1
.
.

Wapendwa hapa kichwa kinauma kwa mawazo kwanini jirani zangu wafungashwe virago ilhali lile bwawa lao pale panapofugwa vyura hapapitiki kwa mafuriko?? Inauma sana....kiukweli ndoto hii naikemea kama pepo [HASHTAG]#lishindwe[/HASHTAG]
Simba wanakula zile zile za LIBOLO leo.
 
Mleta mada wakati hiyo ndoto ilipoisha ulipoamka ulijikagua huko nyuma kuko swalama?
Maana nasikia eti ndoto za hivyo huwa zinaambatana na popobawa.!!!
 
Back
Top Bottom