Zile sare za jangwani swimming pool zinafananaje kumbeWapendwa!!!
Mimi ni shabiki wa simba damu
Ila Nmeota hivi
Al Masry-Simba 0-2
T.Rollers v Yanga 1-1
.
.
Wapendwa hapa kichwa kinauma kwa mawazo kwanini jirani zangu wafungashwe virago ilhali lile bwawa lao pale panapofugwa vyura hapapitiki kwa mafuriko?? Inauma sana....kiukweli ndoto hii naikemea kama pepo [HASHTAG]#lishindwe[/HASHTAG]
Simba wanakula zile zile za LIBOLO leo.Wapendwa!!!
Mimi ni shabiki wa simba damu
Ila Nmeota hivi
Al Masry-Simba 0-2
T.Rollers v Yanga 1-1
.
.
Wapendwa hapa kichwa kinauma kwa mawazo kwanini jirani zangu wafungashwe virago ilhali lile bwawa lao pale panapofugwa vyura hapapitiki kwa mafuriko?? Inauma sana....kiukweli ndoto hii naikemea kama pepo [HASHTAG]#lishindwe[/HASHTAG]
AsanteNgoja nimuulize mzee Akilimali ntakujibu Mkuu
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji84] [emoji83]Simba wanakula zile zile za LIBOLO leo.
Kumbe hela nazo zinashukaga ukizifanyia kazi.....Mara nyingi wanao ota ndoto za hivo ni wale wanaomba pesa zishuke bila kuzifanyia kazi
Kumbe hizo hela zikifanyiwa kazi zinashuka kutoka wapi vileMara nyingi wanao ota ndoto za hivo ni wale wanaomba pesa zishuke bila kuzifanyia kazi
Mkuu vipi? Huamini?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji84] [emoji83]
Kumbe wewe wa swimming pool? [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Mkuu vipi? Huamini?
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sio culex!?Hawa wafugaji maarufu wa vyura na Anofelesi Afrika Masharik na Kati wana tabu sana
International!Kumbe wewe wa swimming pool? [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]International!
Jina la timu ya Angola. Hamna tusi hapoAngalia tu usije kuleta matusi hapa na hiyo LIBOLO yako