Kivipi kudai katiba mpya kuwa ni uroho wa madaraka ya kuingia ikulu?.Je jibu la raisi kusubiri kwanza wasidai katiba amejadiliana na nani?. Je CHADEMA hawajamuomba raisi kukutana naye ili wajadili mustakabali wa nchi ikiwemo katiba?.Rais amesema suala hili lisubiri kwanza wakati akiirudisha nchi yetu katika hali iliyo bora kuliko hapo awali kinachoshangaza uharaka wa suala katiba mpya sielewi chadema kwa nini wanalilazimisha kupita maelezo, Kwa vyovyoye hawa ni watu ambao ni waroho wa madaraka na lango lao kuingilia ikulu ili kujineemesha ni kudai katiba kwa nguvu, TANZANIA NI NCHI YA KIMAJADILIANO ZAIDI KULIKO MABAVU YAO, nadhani hekima ni wangeomba majadiliano kuhusu lini serekali inaona ni wakati muafaka wa kulijadili jambo hili.
Endapo wameomba kuonana na mamlaka husika wavute subra ratiba ya itapangwa wakati utakapofika kwa sasa rais wetu ana shughuli nyingi sana za kurudisha nchi kwenye mstari wakeKivipi kudai katiba mpya kuwa ni uroho wa madaraka ya kuingia ikulu?.Je jibu la raisi kusubiri kwanza wasidai katiba amejadiliana na nani?. Je CHADEMA hawajamuomba raisi kukutana naye ili wajadili mustakabali wa nchi ikiwemo katiba?.
FactNimewaza mengi. Nikagundua kwamba kudai katiba mpya italeta hofu ya kupokwa madaraka miongoni mwa viongozi walioko madarakani , hofu hupelekea presha (hypertension) na visukari (diabetes) kupanda, na hatimaye kifo. Hivo basi kudai katiba mpya kunako fanywa na wanaharakati na vyama pinzani ni ugaidi wa kutaka kuua viongozi wa serikali.
Endapo wameomba kuonana na mamlaka husika wavute subra ratiba ya itapangwa wakati utakapofika kwa sasa rais wetu ana shughuli nyingi sana za kurudisha nchi kwenye mstari wake
Utulivu wa kisiasa in No 1Kivipi kudai katiba mpya kuwa ni uroho wa madaraka ya kuingia ikulu?.Je jibu la raisi kusubiri kwanza wasidai katiba amejadiliana na nani?. Je CHADEMA hawajamuomba raisi kukutana naye ili wajadili mustakabali wa nchi ikiwemo katiba?.
Halafu unajita crocodile wakati ni kenge tu. Lini nyie mi-ccm mkakubali katiba mpya kwa hiari?. Kwa hiyo huyo aliekuambia katiba isubiri kwanza ajenge uchumi unaamini katika hilo?.Rais amesema suala hili lisubiri kwanza wakati akiirudisha nchi yetu katika hali iliyo bora kuliko hapo awali kinachoshangaza uharaka wa suala katiba mpya sielewi chadema kwa nini wanalilazimisha kupita maelezo, Kwa vyovyoye hawa ni watu ambao ni waroho wa madaraka na lango lao kuingilia ikulu ili kujineemesha ni kudai katiba kwa nguvu, TANZANIA NI NCHI YA KIMAJADILIANO ZAIDI KULIKO MABAVU YAO, nadhani hekima ni wangeomba majadiliano kuhusu lini serekali inaona ni wakati muafaka wa kulijadili jambo hili.
Maccm yanachosha sana,Nchi ilitoka nje ya mstari wake lini? Kina nani hao waliitoa wachukuliwe hatua kali?
katiba yetu inahitaji reformationsHalafu unajita crocodile wakati ni kenge tu. Lini nyie mi-ccm mkakubali katiba mpya kwa hiari?. Kwa hiyo huyo aliekuambia katiba isubiri kwanza ajenge uchumi unaamini katika hilo?.
Uchumi upi unaojengwa? Huu wa kuwalazimisha watu wahamie Burundi wasioitaka kukamuliwa kwenye miamala? Uchumi wa mafuta mfano kuwa 2500 kwa lita kwa kwetu na zambia wanaopitishia mafuta yao bandarini kwetu yakiwa 1500 kwa lita kwa thamani ya pesa ya kwetu?.
Katiba mpya ni lazima na usitegemee kuna kiongozi waliopo madarakani wataikubali kirahisi tu habari ya katiba mpya,ksbb ni mwiba mchungu kwenu. Katiba mpya ndio ahueni ya mwananchi anaehoji na kuambiwa ahamie burundi
piga tu iyena iyena tunawezza kuja ingiza mtu asiyafaa kabisaMaccm yanachosha sana,
majingajinga mengi.
Tumecheleweshwa sana kwenye maendeleo ya kweli!
Kwahiyo katiba mpya ikiatikana Chadema wataingia madarakani! Kivipi?Rais amesema suala hili lisubiri kwanza wakati akiirudisha nchi yetu katika hali iliyo bora kuliko hapo awali kinachoshangaza uharaka wa suala katiba mpya sielewi chadema kwa nini wanalilazimisha kupita maelezo, Kwa vyovyoye hawa ni watu ambao ni waroho wa madaraka na lango lao kuingilia ikulu ili kujineemesha ni kudai katiba kwa nguvu, TANZANIA NI NCHI YA KIMAJADILIANO ZAIDI KULIKO MABAVU YAO, nadhani hekima ni wangeomba majadiliano kuhusu lini serekali inaona ni wakati muafaka wa kulijadili jambo hili.
piga tu iyena iyena tunawezza kuja ingiza mtu asiyafaa kabisaMaccm yanachosha sana,
majingajinga mengi.
Tumecheleweshwa sana kwenye maendeleo ya kweli!
kwa kuiba kura.....Kwahiyo katiba mpya ikiatikana Chadema wataingia madarakani! Kivipi?
Uchumi ulianza kujengwa baada tu ya uhuru 1961. Hauwezi kuwa nzuri zaidi miaka mitano hii ya Samia . Maghufuli alitumia lugha hiyo hiyo na ndiyo ukaporomoka zaidi. Hizo ni delaying tactics . Mijadala ya katiba inazuiaJe uchumi wa nchi !!??. Huu ndiyo uroho wa madarakaRais amesema suala hili lisubiri kwanza wakati akiirudisha nchi yetu katika hali iliyo bora kuliko hapo awali kinachoshangaza uharaka wa suala katiba mpya sielewi chadema kwa nini wanalilazimisha kupita maelezo, Kwa vyovyoye hawa ni watu ambao ni waroho wa madaraka na lango lao kuingilia ikulu ili kujineemesha ni kudai katiba kwa nguvu, TANZANIA NI NCHI YA KIMAJADILIANO ZAIDI KULIKO MABAVU YAO, nadhani hekima ni wangeomba majadiliano kuhusu lini serekali inaona ni wakati muafaka wa kulijadili jambo hili.
Mnaposema kwenye mstari wake mnamaanisha nini?Endapo wameomba kuonana na mamlaka husika wavute subra ratiba ya itapangwa wakati utakapofika kwa sasa rais wetu ana shughuli nyingi sana za kurudisha nchi kwenye mstari wake
Hapo tu ndo unapofeli yaani.Je jibu la raisi kusubiri kwanza wasidai katiba amejadiliana na nani?.