Dai la katiba mpya linaweza kuwa ni ugaidi kwa maana hii

Mkuu hayo mabavu walio tumia ni yepi. Watu wakiongea kwenye makongamano ni kutumia mabavu. Makongamano hufanyika kwenye kumbi sio nnje wala barbariani. Wahudhuriaji hawabebi fimbo, visu, wala bunduki. Mkuu waroho wa madaraka ni hawa wanaoogopa kuundwa kwa tumehuru ya uchaguzi, mgombea huru kwenye uchaguzi, ndio maana wanaoogopa katiba mpya kama ukoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…