Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hii picha imetoka katika Gazeti la Serikali katika ile safu ya "Down Memmory lane" mara nyingi sana. Kama sikosei karibia mara 10!
Sijui Daily News wanataka kutuambia nini lakini jina la Katibu Mkuu Ujenzi siyo Mr David Mlingwa bali Dr George Mlingwa. Kosa hili limekuwa likirudiwa rudiwa sijui kwa nini.
Kushoto kwa Mzee Mwinyi ni aliyekuwa waziri wa Ulinzi wakati huo Nalaila Kiula.
Daily News editors, badilikeni!