Elections 2010 Daily News: Slaa will not be the fifth president of Tanzania!

Daily news siku hizi linaandikiwa CCM ofisi ndogo ya LUmumba hivyo tusitegemee lolote la maana. NEC hawana ubavu kulikemea maana nao wanatetea kitumbua
 

Huyu mwandishi nadhani amechanganyikiwa na gazeti hili linatakiwa kufikishwa kwenye media council kwa kuandika upuuzi huu
 
Sijawahi kuona editorial ya kipumbavu kama hii. Bila shaka iliandikwa na mtu aliyekuwa amelewa chakari. Tunangoja kusikia reaction ya vyombo kama Baraza la Habari na Tume ya Uchaguzi. Lakini pia mimi ningekuwa mwajiri wa huyo mhariri ningemfuta kazi mara moja!
 
Naona huyu Bwana kalambishwa maji ya mua,anachokataa ni kutokuwa na data za kutosha,mbona yeye naye anatoa matokeo ambayo sio ya kweli?anafikiri watanzania wa 1995 ndio wa leo.Please mwandishi be proffesional.
 

...hahaha hahahaa hahaha sasa hapo angekuwa Kikwete wa CCM ingesomeka tofauti hiyo initial. Halafu angekuja salva angesema hayo ni mawazo yao ambayo TUNAYAHESHIMU.

Kosa ni kwamba, walipolala wao sie ndo tumeamkia hapo hapo
 
Katika rubbish zoote za uchaguzi wa mwaka huu ni hii Editorial ya hawa jamaa wa DailyNews. Wengine huwa tunajitahidi kuwa impartial lakini these guys yaani wamenichefua kabisa.

Km editor ndio anakuja na content ya namna hii, je wengine??? Kuna haja saana ya kuangalia independence ys institution zetu, na hapo ndio chanzo cha umasikini hasa kilipo. Km tutakuwa na Taasisi Imara upuuzi huu usingeonekana kamwe.

Nina hakika aliandika hii kitu kwa hasira ya kulazimishwa lakini maneno hayo hayarudishiki. "Neno ukishatamka (andika) halirudishiki tena mdomoni". Safari ni ndefu saana kuendea demokrasia ya kweli.
 
...hahaha hahahaa hahaha sasa hapo angekuwa Kikwete wa CCM ingesomeka tofauti hiyo initial. Halafu angekuja salva angesema hayo ni mawazo yao ambayo TUNAYAHESHIMU.

Kosa ni kwamba, waliolala wao sie ndo tumeamkia hapo hapo
Mkuu sidhani kama kuna mwandishi wa habari angeweza kusema haya juu ya Kikwete - Hakuna.
Hivyo upumbavu huu haufai kushangiliwa hata kidogo.
 

Kazi kwelikweli, hivi Dr slaa akipita kuwa rais watajificha wapi?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 

Mwajiri wa huyu mhariri ni Kikwete, what do you expect??????
 
Mambo ya Nyakati...................the beginning of last days of CCM dynasty.
We saw the editorials similar to this one in Malawi, Zambia, Kenya, Zimbabwe, and above all, Rwanda in 1994.
Wako wapi Bwana.......... kwisha!!!!!!!!
 
Mkuu sidhani kama kuna mwandishi wa habari angeweza kusema haya juu ya Kikwete - Hakuna.
Hivyo upumbavu huu haufai kushangiliwa hata kidogo.
Mkuu wangu, nilicheka kwa uchungu maana kama huyu jamaa ndo amemaliza elimu yake hapo basi usitegemee kupata aina ya waandishi aanaowapigia debe MKAPA. sometimes yule mzee yupo right ingawa approach ni ya kizembe
 

Ukweli wa quotation hiyo ni yale yaliyomsibu Jk Mbulu

Ni aibu kubwa kwa gazeti letu la serikali kutoa matokeo kabla hata uchaguzi kufanyika. Mwandishi huyu anastahili kufukuzwa kwanza kazi kwa kudhalilisha gazeti na pili kwa taaluma yake.
 
Duh..huyu mhariri mpuuzi ghafla amechafua mood yangu kabisa,
yaani ameamua kuchafua hali ya hewa kwa makusudi kabisa bila kuwa na sababu za msingi.
Moderator, mturuhusu tu walau kumtukana-specifically kwenye hii thread-labda hasira zetu wengine zitapungua.
 
Kama hawaoni umuhimu wa kura za maoni kwanini waliziweka hapo kabla kwenye gazeti lao?Kama zingeangukia kwa Kikwete wangeziondoa?Kweli mwaka huu wamejeruhiwa wengi..
 
Duh, kweli hawa daily news wanaaa kinoma, yaani walinipotezea muda wangu kupiga kura harafu wameindoa kimizengwe. They need to go back to school (A - Level) waanze kusoma ile somo la GS harafu wasome na maadili ya kazi zao. Hawa hawawezi kwenda kuliport news zozote za maana, its so sad. Ila sauti ya umma ina nguvu kuliko hivyo vyao.

We need the changes kwa udi na uvumba haiwezekani watu wanatumia vibaya taaluma zao kwa kupotosha ukweli waziwazi. I hate you TBC and Daily News.
 
mwandishi ana na jeuri yakusema watu wamnukuu akimaanisha kuwa kaandika kwa kujua baada ya kutafakari!:confused2:
 

Ndio kwanza wazidisha hasira za wananchi (kutumia madaraka/rasrimali za nchi kukandamiza demokrasia). Wamuulize Masha na uonevu wa haki ya uraia unavyo mcost Mza.:eyebrows::eyebrows:

SLAA FOR PRESIDENCY 2010-2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…