Daima usiamini maneno yao mpira dakika 90..

Daima usiamini maneno yao mpira dakika 90..

Mangi shangali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
533
Reaction score
820
Habari zenu..
Mpira sio uchawi wala mpira sio mdomo na maneno ya kijinga.
Bali mpira ni dakika 90..

Daima usipende kuamini utabiri wao.
Mpira unadunda.
Walitabiri mengi sana.
Mara itakuwa aibu ya taifa.
Aisee mwarabu amelala na viatu.
Amepelekewa moto mpaka kaomba poo.
Daima mbele nyuma mwiko
 
USMA wana wa zoom kwa style hii.

Final ni kuchukua kombe, sio kushinda mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16858361021208010.jpg
 
Back
Top Bottom