Daimond akiri kutoka na Jokate!

Mtoto wa Tandale Chaka kwa bi nyau anawatafuna watoto wa Masaki na Mikocheni..sasa huyo Joketi uwa anajifanya vingereza vingi uzungu kaangukia Tandale, maisha haya.
 
Hamna kitu kwa joketi, mimi nilimgonga enzi hizo form iv akiwa mbichi st anthony sec.
 
Uyu angetafutaga tu wa nepi za kanga wenzie, awa wa pampers na maziwa ya unga awaachie wenyewe..watoto wa mujini watamchuna ad domolo lake,shaur yake..yan wamchune ad za kuendea kwa waganga akose..
Ol n ol, wsh hm th best
 
Msanii huyo kioo cha jamii!tabia ya kuchovya chovya ndio anaifundisha jamii
 
Ana domo kubwa ka chemba za choo.
 
Jo.kate ni bnt mzur lakn mpu.mba.vu!atatembeaje na huyu m.jinga wa tandale!
 

hebu niambie kijana.mguu wa mtoto ndio nini,maana umeniacha kidogo?
 

hebu niambie kijana.mguu wa mtoto ndio nini,maana umeniacha kidogo?
 
Si mchezo...Jokate naye! Kweli ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…