Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuon picha bana
Nyumba 10 bado anapanga
Ukistaajabu ya yamoto kuwa band pasipo kuwa hata na gitaa utayaona ya jux kumiliki ghorofa kwa single mbili.,,,Kwa wasanii yote yanawezekana..
Ukistaajabu ya yamoto kuwa band pasipo kuwa hata na gitaa utayaona ya jux kumiliki ghorofa kwa single mbili.,,,Kwa wasanii yote yanawezekana..
Hahahahaah nimeipenda hiyo ya jux
Mkuu umenifurahisha mbona hushangai Ney kuwa na mjumba na murano kwa singo mbili tu
Hebu tuwe wawazi hii nyumba paa lilikua likafumuliwa!?maana naona tofati au macho yngu tu
Nyumba 10 bado anapanga