BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Nipite
Hapa huchelewi kuitwa "mchawi"
Hapa huchelewi kuitwa "mchawi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa anadai anahela ila nyumba katumia muda mwingi sana kujenga. Nyumba kawaida miezi sita imemalizika kabisa na umehamia.
Hiyo swimming ndogo sana, hakuna space kabisa
Nyumba 10 bado anapanga
Usidhani wanaopanga wote hawana nyumba... wapo wanaopanga huku wakiwa na nyumba za maana kuliko hizo walizopanga... wachumi wanacheza na opportunity cost! Ikiwa una nyumba unayoweza kupangisha kwa sh. 5 million wakato sokoni zinapatikana nyumba za kupanga zilizo standard kwa sh. 2 million, mchumi hawezi kuishi kwenye hiyo nyumba ya sh. 5 million badala yake ataipangisha, 3 million anaweka mfukoni, 2 million na yeye anaenda kuwa mpangaji wa nyumba ya mwenzake!Nyumba 10 bado anapanga
Hyo picha aliyopost zari wema lazima ajinyee uko alipo
Hyo picha aliyopost zari wema lazima ajinyee uko alipo
Hoyaa, hatwendi hivyo, hatufuti kauli kwa ku-edit ama kufuta post wewe, nimekurudishia kauli yako hii hapa:Nimefuta kauli
Na habari rasmi ni hii hapHuyu jamaa anadai anahela ila nyumba katumia muda mwingi sana kujenga. Nyumba kawaida miezi sita imemalizika kabisa na umehamia. Hiyo swimming ndogo sana, hakuna space kabisa
Kagombe kweli una macho mm nilikua natafakali hilo la paa la nyumba
Kajenga mbali na mjini baada ya kununua hata nusu eka ndio ujenge ....unajenga kwenye kiwanja sqm 800 sijuu maana iyo nyumba ilivyo jibana ukuta unakaribia nyumba geti lina karibia nyumba....kwa ustar wake mmh hapana alompa ushauri kakosea
Tunauziwa mbuzi ktk gunia hapa mkuu!