NI sheedah, kajitahidi, mi namuoenea huruma mama ubaya tu, uko alipo sijui atakuwaje, maana mimi tu hayanihusu roho imeniuma vile, sasa yeye ambaye alikuwa baby wake sijui itakuwaje, atalamba ndimu mwaka huu
TRA wakimdai kodi mnamtetea
Hatuon picha bana
Haya nasubiri comment za wachawiiiii
Binamu unajua naumwa ila jana nikashindwa kujizui kuingia humy maana nna deep mawazuuu loo,
Kwa taarifa yako uzi haufutwi we lamba ndimu na juic yake nakulete
Ndio mumsaidie sasaa kulamba ndimu,hehee mange kawa mshauri eti jiko lingekua hivi mara vile wakati nae anaishi stoo tu pumbavuuu
Msukuma sio maarufu jamani msamehe,hua namsifia huku kiuno kipo juu nampa utamu
Nahisi jana hujalala kwa roho mbayaaa
Hahahahahaa!!! Chibu hajawaweza jana kaanza kuwaweza zamani manake kila cku na shobo zake zote, alikuwa anaonesha kakibanda tu kwa nyuma halafu wala hakaonekani kama kangeisha ili awape nafasi watu ya kuchonga! Na kweli mkachonga, mkachonga, mara ghafla, mvuuuuu, hilo hapo na haishangazi akina warumi kuhitimisha ni cha Braza Kinje manake tulishazoea kukaona kale kakibanda kasikotaka kwisha!!!Imetosha jamani, tumekubali mshatupiga bao jana na jumba lenu la kifahari tena zuri, tunasubir janga lingine limkute tuanze kuchamba, ila kwa jana tu katuweza, sitasahau kwa kweli
hahahahaaaa! Mpwa usinichekeshe bhana... kumbe hayakuhusu na bado roho inakuuma, aaaaaargh! Sema dah, nadhani Wema hana bahati kwa kweli! Na hapa napata picha moja... ndo maana Chibu alikuwa anakwepa kutangaza ndoa mapema... nani anataka stress za kupelekana mahakamani tugawane mali baada ya ndoa kuchacha!!!NI sheedah, kajitahidi, mi namuoenea huruma mama ubaya tu, uko alipo sijui atakuwaje, maana mimi tu hayanihusu roho imeniuma vile, sasa yeye ambaye alikuwa baby wake sijui itakuwaje, atalamba ndimu mwaka huu
Tuonyeshe na wewe nyumba ya msukuma, sio kutwa kushoboka na vitu vya watu kama uliambiwa una urithi
Mwenzangu mpaka najiuliza mimi sio mchawi kweli? Ni sheedah, ila hapana jana niliumiaje? Nilivyokuwa simpendi ndomo... ila bora mie nasema sitaki stress, maana wengine wanavujia maumivu ndani kwa ndani, sasa kama niliumia nisiseme? Wanipishe mie
Mi mpaka nione hati ya nyumba ndo nitaamini, maana huyu ndomo kwa kweli sio wa kumwamini, usikute nyumba ya pedeshee
Picha ya nini? Umbea tu, weka picha ya nyumba ya msukuma na wewe nfyyuu
Sitaki kucheka mie, mange nae kawa designer siku izi? Si mchezo, kweli ndimu za jana ziliwakolea wengi
Hahahahahaa!!! Chibu hajawaweza jana kaanza kuwaweza zamani manake kila cku na shobo zake zote, alikuwa anaonesha kakibanda tu kwa nyuma halafu wala hakaonekani kama kangeisha ili awape nafasi watu ya kuchonga! Na kweli mkachonga, mkachonga, mara ghafla, mvuuuuu, hilo hapo na haishangazi akina warumi kuhitimisha ni cha Braza Kinje manake tulishazoea kukaona kale kakibanda kasikotaka kwisha!!!
m
hahahahaaaa! Mpwa usinichekeshe bhana... kumbe hayakuhusu na bado roho inakuuma, aaaaaargh! Sema dah, nadhani Wema hana bahati kwa kweli! Na hapa napata picha moja... ndo maana Chibu alikuwa anakwepa kutangaza ndoa mapema... nani anataka stress za kupelekana mahakamani tugawane mali baada ya ndoa kuchacha!!!
Hahhhhaaa nyumba ya msukuma ya ninii weka yako kwanzaa mfyuuuuuu muwache msukuma wangu
Mi si nimekwambia naishi kwa mamdogo? Nyumba napata wapi nfyuu ebu nipishe na shobo zako, ndomo mwenyewe hakujui nfyuuu
Na bado mtataka hadi risiti ya vifaa alivonunuaa
Siku hiz mshauri yaan kashindwa kujishauri yake mfyuuuu
Hiv binam kuchukua zile picha insta na video unafanyaje hebu nitoe ushamba mieee