maskini hadi nimekuonea huruma yaani, sasa siku sauti yake ikikauka si ndio siku amekufa jamani. au umemtabiria kuna siku atakuwa bubu??? walahii hilo sink moja tuu litatosha kumpeleka india akawekewe sauti ya bandia. ndipo hapo utakapojua kama alichokifanya leo kinamfaa kwa kesho au hakimfai.
Nimekupa malike hadi nimechoka.
Yaani unaongea points za maana hadi raha.