Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Usimtishe hatutaki ubishoo na uongo, Diamond ni mtu mzima sio Sitti Mtevu, yeye staa akisema kitu nilazima watu wakahakikishe ili iwe mfano kwa wengine, msije mdanganya kama yule wa nyimbo za watoto aliyepo kenya.
Kwahiyo Daimond ni star anachosema lazima watu wakahakikishe,ila mleta mada kasema anapagale haina haja ya kuhakikisha kwa kuwa si star na ana haki ya kusema jambo lolote na bila ya kutakwa adhibitishe kwa kuwa si star ????????????
 
Kwahiyo pale alikuea hotelini ama alikuwa kwny nyumba za watu mmmmmm kama kweli nimemwogopa dogo jax hana albam hata moja lkn picha ya jengo kubwwwww
 

Bora umetoa sababu za kumchukia wengne hawana hata sababu
 
Hapo ndipo roho za chuki zinapotuchoma kuliko msumari wa moto kwenye kidonda
 



nmerudi jamii forum leo umeirudisha furaha yangu nmecheka saana.

hao ni " binadamu" kufatilia maisha ya mtu hivyo nakupost in sad mood jaman inakuhusu nini vipi kuhusu nyumba ya mtoa mada aweke picha hapa tuione. angekuwa anatafuta pesa kama umbea angekuwa mbali sana
 
Mkuu weka picha basi wenzio wanao leta habari kama hizi huja na picha! Pole sana kwa pressure..
 
Bill Gates alitumia miaka 8 kukamilisha nyumba yake

Warren Buffet alijenga nyumba ya kuanzia maisha kwa miezi michache na mpaka kuwa bilionea namba 2 duniani ameendelea kuishi kwenye nyumba hiyo

Life style is a choice

Mark Z. mwanzilishi wa FB anaishi kwenye simple 2 bedrooms apartment
 
We si ndo yule jamaa ulileta stori za kwenda kukutana na demu wakati una buku 3 mfukoni wewe??!! Demu anakuja na usafiri wa haja, ukaamua kukimbia?? Basi hiyo roho yako ya kichawi ndo maana unaandamwa na umaskini na watu kama nyinyi hamuwezi kufanikiwa hata siku moja manake mna roho za kichawi!
 
may be,kisa kamuona jux kapost mjengo wake na yeye kaedit picha za nyumba za watu na kupost kama yake.duh!umaarufu

Na mimi nlikuwa nawaambia watu ivo ivo,kaona jux kamzidi kajifanya kupost na yeye na caption inayoendana na ile ya jux
 
Kwan wewe mkewe mpaka ujue nyumba zake zoote.amekwambia ana nyumba kumi tatizo lako nini?.acha kiherehere kujifanya unawajua sana watu
 
Unataka kuniambia leo ni mara yako ya kwanza kuona mapicha picha kama haya kutoka kwa wasanii mbalimbali duniani?

Labda msanii gani kaweka Picha ya choo, hahahha na kulazimisha ni cha dola kadhaaa hahaha ushamba bana. Mwambieni mafanikio yatajionyesha yenyewe asilazimishe la.sivyo anaonekana chicken tu, ajifunze kutoka kwa kina AYYYYYYY NA PROF J,
 

Demu mzur kuliko wote.EA.hahahahahaha sio kosa lako.
Umesema kijana tajir kuliko wote chini.ya 25, doh doh doh.wako matajir hawana showoff jamani na hawalazmish.kupost mafanikio yao ila wenyewe tunazisoma namba kitaa, acheni kumdanganya huyu dogo, ataboa watu na aporomoke hivi soon, watanzania hawatak majigambo bana
 
so what? na ww onesha ya kwako km zimekukera. by the way kwa post yko dhaifu ukilinganisha na ile iliyoonesha picha,unafikir unaweza kumshawish mtu? penda kuwa mpinzani lakini wengine wawe wananufaika na upinzani wako na sio uchafu huu ulioweka...samahani km nimekukera.
 
Nchi ikitawaliwa na wajinga huwa wajinga ndo wanao pataga nafasi ngoja aje atawale Mwenye akili timamu hata huyo anaejiita dimonda atarudi kwao tandale kwa bibi nyau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…