Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndizo alizosema hana kijiji mwananyamara nini?
Kwahiyo Daimond ni star anachosema lazima watu wakahakikishe,ila mleta mada kasema anapagale haina haja ya kuhakikisha kwa kuwa si star na ana haki ya kusema jambo lolote na bila ya kutakwa adhibitishe kwa kuwa si star ????????????Usimtishe hatutaki ubishoo na uongo, Diamond ni mtu mzima sio Sitti Mtevu, yeye staa akisema kitu nilazima watu wakahakikishe ili iwe mfano kwa wengine, msije mdanganya kama yule wa nyimbo za watoto aliyepo kenya.
Una nyumba 10 mjini,akaunti inasoma 10 digits,unamiliki mwanamke mzuri kuliko wote east Africa,kijana tajiri kuliko wote Tz below 25 of age,mtanzania maarufu kuliko rais wa nchi,passport imechafuka kuliko waziri wa mambo ya nje,ikulu unaingia unavyojisikia......
Ndio maana diamond nakuchukia sana haiwezekani upate haya yote katika umri wa miaka 25
Hapo ndipo roho za chuki zinapotuchoma kuliko msumari wa moto kwenye kidondaUna nyumba 10 mjini,akaunti inasoma 10 digits,unamiliki mwanamke mzuri kuliko wote east Africa,kijana tajiri kuliko wote Tz below 25 of age,mtanzania maarufu kuliko rais wa nchi,passport imechafuka kuliko waziri wa mambo ya nje,ikulu unaingia unavyojisikia......
Ndio maana diamond nakuchukia sana haiwezekani upate haya yote katika umri wa miaka 25
Jinsi watu wanavyomuongelea huyu dogo inaonyesha kabisa wanachuki inawatafuna moyoni kabisa. hebu tuchukue kwa mfano hiyo nyumba hana kama munavyosema, je wewe na mimi ambao si familia yake tumepungukiwa nini ??????????? au anayo kama anavyosema yeye mwenyewe wewe na mimi ambao si familia yake tumeongezekewa nini???????? Au kama munavyosema pagawe lake limeanguka je, hilo pagawe lake kulijenga umemchangia ????????
Hii shughuli leo kaingia punga, ni zaidi ya mwanga.
Bill Gates alitumia miaka 8 kukamilisha nyumba yake
may be,kisa kamuona jux kapost mjengo wake na yeye kaedit picha za nyumba za watu na kupost kama yake.duh!umaarufu
Ndimu zinahusuka kwenye huu uzi
Unataka kuniambia leo ni mara yako ya kwanza kuona mapicha picha kama haya kutoka kwa wasanii mbalimbali duniani?