Mpwa nakuwekea sentensi mbili, ya blue na nyekundu: Jide ana nyumba mzuri, muziki wake mzuri, ana mafanikio kibiashara nyingine ni : Jide bwana, bonge la demu, ana mguu wa bia, mtoto ameumbika, ana macho ya kuvutia! Kwa uelewa wako wewe, ni sentensi ipi nimemsifia Jide?
Jamani binamu, unanichokonoa? Jide ana mguu wa bia?
Nawe ukome kumponda daimond alaa,ndio hivyo huyo hapo chige sasa kumbe ulijitawala ukajua ana ban mjibu sasaa kazi ni kwako
Yaani mpwa unatia huruma... manake hii mipicha ni kigezo tosha kuthibitisha kwamba hauna BP hata ya kuzingiziwa manake tungesema mengine hivi sasa! Ile juzi, ukija huku, mipicha ya tiles custom made... ukiangalia kule, unakumbana na wash room with gold plated accessories, ukiangalia upande wa pili, mituzo ya kumwaga... wacha ujilazimishe kufungua uzi na kutuletea zilipendwa za akina Kajala na Wolper huku mwenyewe ukidhani kwamba ungesahau ya Chibu, kumbe wapi!!!!
Huna lolote, kwenda huko hapa habari moja tu, hii hapa:We unataka kunichonganisha na kaka chige tu nshakujua wewe mchonganishi nfyuuu na hatugombani ng' oo loh mwanamke kinyonga wewe ,hapana kwa kweli sio kwa umbea huu
Huna lolote, kwenda huko hapa habari moja tu, hii hapa: View attachment 237602
Yaani mpwa unatia huruma... manake hii mipicha ni kigezo tosha kuthibitisha kwamba hauna BP hata ya kuzingiziwa manake tungesema mengine hivi sasa! Ile juzi, ukija huku, mipicha ya tiles custom made... ukiangalia kule, unakumbana na wash room with gold plated accessories, ukiangalia upande wa pili, mituzo ya kumwaga... wacha ujilazimishe kufungua uzi na kutuletea zilipendwa za akina Kajala na Wolper huku mwenyewe ukidhani kwamba ungesahau ya Chibu, kumbe wapi!!!!
kuna wanaume wanaumia sana na mendeleo ya platnumz! ,mmmmmmxxxxiiiiiieeeewwww! watanzania noumer! wachawi sijapata kuona!Kwa hiyo wewe hua unamsifia jaydee hua una ndoto za kulala nae!!acha mawazo potofu
We nawe, unafikiri usipompa ma-hope huyo nduguyo warumi si anaweza kushindwa hata kula! Na hizi mvua mvua hizi, cjui hata kama kuoga kwenye siku mbili hizi alioga manake kila akiangalia hii mipicha, pupwe linaongezeka!!! Warumi mpwa, usimsikilize huyu Dinazarde, wivu tu na yeye umejaa, si unajua tena wanawake wasivyopendana wao kwa wai! Yaani guu lote la Dada Jide lile halafu mtu aseme halioni, aaaaaargh!Chige una macho mabovu huo ni mguu wa bia???
Unalo 👌👌👌👌👌✌✌✌✌👅👅👅