warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mpwa nakuwekea sentensi mbili, ya blue na nyekundu: Jide ana nyumba mzuri, muziki wake mzuri, ana mafanikio kibiashara nyingine ni : Jide bwana, bonge la demu, ana mguu wa bia, mtoto ameumbika, ana macho ya kuvutia! Kwa uelewa wako wewe, ni sentensi ipi nimemsifia Jide?
Jamani binamu, unanichokonoa? Jide ana mguu wa bia?

