Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

i just luv him, watanzania tuache majungu! pakusifia tusifie, kuna mitoto ya kiume kibao ipo 35 hata choo hajajenga yupo kwao ana kazi ya kujisifia na flat screen ya baba yake. kha! watanzania tubadilike!

Binamu ntakupasua ujue? Oooh sio kwa ukweli huu
 
Nashangaa mpwa warumi leo amenuna, kisa eti chige anamsifia Diamond wakati wote ni wanaume! We warumi, ushaelewa tofauti kati ya kumsifia mtu na kusifia mafanikio ya mtu??

Mi naenda zangu jukwaa la siasa uku hakuna jipya.... yani tungekuwa tunamsifu mungu wetu kila siku kama ivi tungebarikiwa sana kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
AHAhahahahaajaha, khaaa sio kwa picha zile aseeh, maana mvua ilikuwa inanyesha ila joto nililokuwa nalisikia, mungu anajua kwa kweli, nilipata nafuu pale ukuta ulipoanguka chini, hahahah

Pole binamu 🙏🙏🙏
 
em subir kwanza,..
ivi mleta uzi ushalipa kodi ya pango ya mwez huu kweli!!!?
 
Mi naenda zangu jukwaa la siasa uku hakuna jipya.... yani tungekuwa tunamsifu mungu wetu kila siku kama ivi tungebarikiwa sana kwa kweli

Jukwaa la dini sijawahi kukuona hata siku moja
 
Pagale ha ha ha ha! Ni watu wachache wanaijua hii terminology!
 

Weka picha tutakuaminije banaaa, acha uzushi
 
Usimtishe hatutaki ubishoo na uongo, Diamond ni mtu mzima sio Sitti Mtevu, yeye staa akisema kitu nilazima watu wakahakikishe ili iwe mfano kwa wengine, msije mdanganya kama yule wa nyimbo za watoto aliyepo kenya.

Haya nenda kapige picha hilo pagale uje uliweke hapa, siyo unatutolea mapovu hapa
 
great mind discuss ideas,poor mind discuss people....
Na wewe umefanya tunachokifanya (wenye akili ndogo) cha kusoma na kuchangia lakini pia umetembelea jukwaa hili.hongera mwenye akili kubwa kwa kutuonyesha jinsi ulivyo great mind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…