warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hapo kwa mbalii anaona picha ya mtoto zarina kwanini asichanganyikiweeee alaaa atupisheee
Nionyesheni na nyie basi ata kiwanja ili nife kabisaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwa mbalii anaona picha ya mtoto zarina kwanini asichanganyikiweeee alaaa atupisheee
i just luv him, watanzania tuache majungu! pakusifia tusifie, kuna mitoto ya kiume kibao ipo 35 hata choo hajajenga yupo kwao ana kazi ya kujisifia na flat screen ya baba yake. kha! watanzania tubadilike!
Chige una macho mabovu huo ni mguu wa bia???
AHAhahahahaajaha, khaaa sio kwa picha zile aseeh, maana mvua ilikuwa inanyesha ila joto nililokuwa nalisikia, mungu anajua kwa kweli, nilipata nafuu pale ukuta ulipoanguka chini, hahahah
Nionyesheni na nyie basi ata kiwanja ili nife kabisaaa
Mi naenda zangu jukwaa la siasa uku hakuna jipya.... yani tungekuwa tunamsifu mungu wetu kila siku kama ivi tungebarikiwa sana kwa kweli
Jukwaa la dini sijawahi kukuona hata siku moja
Nikafuate nini? Unanitakia mema kweli? Si nitaungua hadi kope
Una akili mingi sana wewe...Punga atulii huyo mpk azibwe.
Nimeshangazwa na picha anazopost Daimond kuwa nyumba yake ya Tegeta imekamilika karibu 80%. Kiukwel Daimond hana nyumba Tegeta, ila ana Pagale au Gofu lipo Wazo Contena kama unaelekea Mivumoni. Pagale lenyewe limeanza kubomoka na kuna jamaa alikuwa kamuweka kwenye Pagale hilo ameondoka kutokana na kuwa mazingra ya pagale hilo kuharibika..
Usimtishe hatutaki ubishoo na uongo, Diamond ni mtu mzima sio Sitti Mtevu, yeye staa akisema kitu nilazima watu wakahakikishe ili iwe mfano kwa wengine, msije mdanganya kama yule wa nyimbo za watoto aliyepo kenya.
Haya nenda kapige picha hilo pagale uje uliweke hapa, siyo unatutolea mapovu hapa
Na wewe umefanya tunachokifanya (wenye akili ndogo) cha kusoma na kuchangia lakini pia umetembelea jukwaa hili.hongera mwenye akili kubwa kwa kutuonyesha jinsi ulivyo great mindgreat mind discuss ideas,poor mind discuss people....