Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake


Duh unakaa nakutunga kabisa uongo...umefaidika nini?

Wivu mbayaaaaa uwiiiii
 
Wadada fanya kupita ladytiger_fashions instagram na Facebook ujionee vya ukweli kuanzia beach, club, ofisini, casual hadi vya ukweni
Kaka wapendezeshe uwapendao... Umaridadi huficha umasikini njoo huku hutojutia... Ni dhambi mbaya kukosa kuvutia na suluhisho lipo
 
Wa tz inafika kipind roho za chuki tuziweke pembeni hata kama ni pagale si.mumuache na maisha yake nyie hata ilo pagale hamna
 

Maskin umehangaika kugoogle weeee ili kuprove bwana wako si mshamba! hahahhaha narudia tena mtoto wa tandale mshamba! Ndo mana wazungu wana kimsemo cha maudhi kuwa" hayo ni matokeo when monkeys get moneeeee" sasa naelewa
 
Last edited by a moderator:
Maskin umehangaika kugoogle weeee ili kuprove bwana wako si mshamba! hahahhaha narudia tena mtoto wa tandale mshamba! Ndo mana wazungu wana kimsemo cha maudhi kuwa" hayo ni matokeo when monkeys get moneeeee" sasa naelewa

Sema wewe nikisema mimi naambiwa mchawi
 
Maskin umehangaika kugoogle weeee ili kuprove bwana wako si mshamba! hahahhaha narudia tena mtoto wa tandale mshamba! Ndo mana wazungu wana kimsemo cha maudhi kuwa" hayo ni matokeo when monkeys get moneeeee" sasa naelewa

Nyumba anayo Kobe Nyumba ya mwanadamu kaburi acheni wehu kulinganisha vibanda vyenu na vibanda vya wenye akili
 
Inaweza kuingia kwenye jukwaa la entertainment lakini nimeona niilete hapa kwani watu wengi huwa wanapita.
Issue ipo hivi,choo cha milion 70,ilitoshaje hiyo dhahabu kwa choo chote kile MR DIMOND.
ama sio juz bas majuz nlikuwa natoka zangu Mbagala kumtembelea mamangu mdogo, wakati narud ilikuwa jion dereva wa daladala alifungulia redio clouds wengine tumezoea kuiita blauzi fm.

Kuna mtangazaj alikuwa akitoa taarifa mbalimbali watu walikuwa makin kumsikiliza hadi pale alipokuja kutangaza kukamilika nyumba ya msanii anaefanya vizuri sana kimataifa kwasasa Diamond.

Pale alipokuja kusema choo cha nyumba iyo kimegarim million 70 watu waliipokea kwa mshangao mkubwa sana habari iyo, weng walifyonza na kuomba dereva azime tu redio yake kitu ambacho dereva alitii

Pembeni yangu nlikuwa nimekaa na mwanafunzi mmoja wa chuo cha TIA akaniuliza "icho choo kina nini cha maana hadi kiwe na thamani ya mil 70, wakati NHC wanauza nyumba nzuri zilizokamilika kwa million had 50?.

Mi nikamjibu Yule jamaa, "mtangazaji si amesema kimenakshiwa kwa dhahabu ambapo hata mkandaras amekiri Alinunua material ya juu ndomana bei imekuwa juu ivo"

TUJADILI
Niliporud nyumban nikaingia ktk website ya benk kuu na kuangalia bei ya sarafu za nje na dhahabu(NB Benk kuu hununua na kuuza dhahabu mara nying ili kudhibiti kupanda na kushuka kwa thaman ya sarafu ya Tz)

Bei ya dhahabu kwa troy ounce 1 inacheza kwenye Tsh million 206 na iyo ndo bei ya dunia kwa siku iyo na huwa haibadiliki sana kama bei za fedha. Troy ounce 1 ni sawa na gram 31.1034768 inamana ukicross multiplication, gram 31 = million 206, je million 70 sawa na gram ngap inakuletea gram kama 10.

So tukiassume ata kama garama ya choo angeweka dhahabu tu bila kujumlisha bei visinki, vioo/mirrors, ufundi, tofali nk inamana kwa million 70 tu diamond alinunua gram 10 tu za dhahabu(na kumbuka gram inabid zifike 1000 ili iwe kilo 1).

Mtu unaweza kujiuliza inamana gram 10 ya dhahabu ni kubwa sana na ingeweza kunakshia choo chote, jibu ni hapana; density ya dhahabu ni 19.3 gram/cm cubic inamana dhahabu ya gram 10 ina ujazo wa 10/19.3 = 0.518 sentmita za ujazo.

Na kumbuka sentimita za ujazo inabid zifike 1000 ili iwe lita 1, sasa iyo alonunua Diamond, ukubwa wake ni 0.518 sm za ujazo ambayo ni sawa na lita 0.000518 kiufupi ni ndogo mno kutosha kunakshia choo kizima.

Nashindwa kuelewa DIAMOND alitumia ujanja gani ambao ata mimi napenda niujue hadi ikatosha kunakshia choo kizima hiyo dhahabu ya million 70, yenye gram 10, na ukubwa wa lita 0.000518.

Tujadili kitaalamu

‪



 
Wanaojua kizungu tafadhali
 

Attachments

  • 1427309787867.jpg
    43.8 KB · Views: 2,053
Na thread looote hilo umeshindwa kujua nini maana ya GOLD PLATED!!!! Kuna TV 80m itakuwa choo! Tatizo mkisikia choo mnawaza KUNYA!!! Choo ni zaidi ya KUN.YA na wengine kwenye nyumba zao choo ndio sehemu muhimu kuliko zote! Kuna makabati ya nguo humo,TV tena inaweza kuwa zaidi ya moja,music system na zagazaga zote zinazohusu usafi wa mwili na mavazi.
 

Bora umeongea mkuu.. unajua kuna thread kama iz zinatuaibisha sana watanzania...

tunaonekana kama washamba sana atujui chochote kwa waleta mada kama uyu mjamaa wa uswazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…