Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Nimeshangazwa na picha anazopost Daimond kuwa nyumba yake ya Tegeta imekamilika karibu 80%. Kiukwel Daimond hana nyumba Tegeta, ila ana Pagale au Gofu lipo Wazo Contena kama unaelekea Mivumoni. Pagale lenyewe limeanza kubomoka na kuna jamaa alikuwa kamuweka kwenye Pagale hilo ameondoka kutokana na kuwa mazingra ya pagale hilo kuharibika..

Duh unakaa nakutunga kabisa uongo...umefaidika nini?

Wivu mbayaaaaa uwiiiii
 
Wadada fanya kupita ladytiger_fashions instagram na Facebook ujionee vya ukweli kuanzia beach, club, ofisini, casual hadi vya ukweni
Kaka wapendezeshe uwapendao... Umaridadi huficha umasikini njoo huku hutojutia... Ni dhambi mbaya kukosa kuvutia na suluhisho lipo
 
Wa tz inafika kipind roho za chuki tuziweke pembeni hata kama ni pagale si.mumuache na maisha yake nyie hata ilo pagale hamna
 
Badala ya kujifunza kwa AY au Profesa J kutoonesha choo cha home kwake, yeye ameamua kujifunza kwa Kanye West: Gild The Throne! Kanye West and Kim Kardashian flush nearly $1 million on gold plated toilets for their new Bel Air mansion:
View attachment 237580
Kama kuonesha chako mtu ni feeling of insecurity, nyumba ya role model wako, Profesa J, hii hapa:

View attachment 237581

View attachment 237583

Role model wako, ambapo kwa mujibu wa maelezo yako mtu kuonesha kilicho chake ni dalili ya feelings of insecurity, ametuonesha hadi sehemu anayolala:

View attachment 237584

Na kwa kukuonesha sio kwamba hizo picha zilipigwa kwa siri bila Prof J mwenyewe kufahamu, Pof mwenyewe huyu hapa:“hii nyumba nimeanza kuijenga wakati nimezidiwa pia na ujana mwingi, nilikua napata kiasi kikubwa sana cha fedha lakini nilikua nashindwa kumanage zile hela, kama unavyoona vijana wengi sana sasa hivi, watu wanapata sana hela, tunapata hela sana kwenye matamasha, albums, huwa tunasema sio hela zinazotosha lakini ni hela nyingi kwa mtu ambae akizihesabu, kwangu pia kusave hela lilikua tatizo kubwa sana” ameamplfy Profesa Jay Prof alianza kuijenga hiyo nyumba zaidi ya miaka mitano mpaka sasa hivi, ipo MBEZI ya KIMARA"

Narudia swali langu la awali: Ina maana wewe hii ni mara yako ya kwanza kuona celebrities mbalimbali duniani wakionesha nyumba zao?
Cristiano Ronaldo villa



RONALDHINO'S HOUSE

<strong>

Take A Look At Davido's Multi-Million Naira Mansion in Lekki

View attachment 237563

View attachment 237564

View attachment 237565

Take A Look At Davido's Multi-Million Naira Mansion in Lekki | Beanball Media Blog

Dr. Dre Just Bought the Brady/Bundchen Mansion for $40MM
View attachment 237573

Kwako wewe, Diamond ni mshamba, mwanaume mzima anaringishia jiko! Mshamba mwingine Dr. Dre huyu hapa:
View attachment 237574View attachment 237574

Hivi hiyo avatar yako ni ya celebrity gani? Sio huyu hapa?



Kwahiyo hao wote ni washamba na wewe ndio mjanja sio? Au hao wengine wote ni wajanja lakini Diamond ndio mshamba sio? Namalizia kwa swali langu lile lile la awali, Ina maana hii ni mara yako ya kwanza kuona picha za mali zinazomilikiwa na celebrities duniani??


Maskin umehangaika kugoogle weeee ili kuprove bwana wako si mshamba! hahahhaha narudia tena mtoto wa tandale mshamba! Ndo mana wazungu wana kimsemo cha maudhi kuwa" hayo ni matokeo when monkeys get moneeeee" sasa naelewa
 
Last edited by a moderator:
Maskin umehangaika kugoogle weeee ili kuprove bwana wako si mshamba! hahahhaha narudia tena mtoto wa tandale mshamba! Ndo mana wazungu wana kimsemo cha maudhi kuwa" hayo ni matokeo when monkeys get moneeeee" sasa naelewa

Sema wewe nikisema mimi naambiwa mchawi
 
Maskin umehangaika kugoogle weeee ili kuprove bwana wako si mshamba! hahahhaha narudia tena mtoto wa tandale mshamba! Ndo mana wazungu wana kimsemo cha maudhi kuwa" hayo ni matokeo when monkeys get moneeeee" sasa naelewa

Nyumba anayo Kobe Nyumba ya mwanadamu kaburi acheni wehu kulinganisha vibanda vyenu na vibanda vya wenye akili
 
Inaweza kuingia kwenye jukwaa la entertainment lakini nimeona niilete hapa kwani watu wengi huwa wanapita.
Issue ipo hivi,choo cha milion 70,ilitoshaje hiyo dhahabu kwa choo chote kile MR DIMOND.
diamond-platnumz728d-710x837.jpg
ama sio juz bas majuz nlikuwa natoka zangu Mbagala kumtembelea mamangu mdogo, wakati narud ilikuwa jion dereva wa daladala alifungulia redio clouds wengine tumezoea kuiita blauzi fm.

Kuna mtangazaj alikuwa akitoa taarifa mbalimbali watu walikuwa makin kumsikiliza hadi pale alipokuja kutangaza kukamilika nyumba ya msanii anaefanya vizuri sana kimataifa kwasasa Diamond.

Pale alipokuja kusema choo cha nyumba iyo kimegarim million 70 watu waliipokea kwa mshangao mkubwa sana habari iyo, weng walifyonza na kuomba dereva azime tu redio yake kitu ambacho dereva alitii

Pembeni yangu nlikuwa nimekaa na mwanafunzi mmoja wa chuo cha TIA akaniuliza "icho choo kina nini cha maana hadi kiwe na thamani ya mil 70, wakati NHC wanauza nyumba nzuri zilizokamilika kwa million had 50?.

Mi nikamjibu Yule jamaa, "mtangazaji si amesema kimenakshiwa kwa dhahabu ambapo hata mkandaras amekiri Alinunua material ya juu ndomana bei imekuwa juu ivo"

TUJADILI
Niliporud nyumban nikaingia ktk website ya benk kuu na kuangalia bei ya sarafu za nje na dhahabu(NB Benk kuu hununua na kuuza dhahabu mara nying ili kudhibiti kupanda na kushuka kwa thaman ya sarafu ya Tz)

Bei ya dhahabu kwa troy ounce 1 inacheza kwenye Tsh million 206 na iyo ndo bei ya dunia kwa siku iyo na huwa haibadiliki sana kama bei za fedha. Troy ounce 1 ni sawa na gram 31.1034768 inamana ukicross multiplication, gram 31 = million 206, je million 70 sawa na gram ngap inakuletea gram kama 10.

So tukiassume ata kama garama ya choo angeweka dhahabu tu bila kujumlisha bei visinki, vioo/mirrors, ufundi, tofali nk inamana kwa million 70 tu diamond alinunua gram 10 tu za dhahabu(na kumbuka gram inabid zifike 1000 ili iwe kilo 1).

Mtu unaweza kujiuliza inamana gram 10 ya dhahabu ni kubwa sana na ingeweza kunakshia choo chote, jibu ni hapana; density ya dhahabu ni 19.3 gram/cm cubic inamana dhahabu ya gram 10 ina ujazo wa 10/19.3 = 0.518 sentmita za ujazo.

Na kumbuka sentimita za ujazo inabid zifike 1000 ili iwe lita 1, sasa iyo alonunua Diamond, ukubwa wake ni 0.518 sm za ujazo ambayo ni sawa na lita 0.000518 kiufupi ni ndogo mno kutosha kunakshia choo kizima.

Nashindwa kuelewa DIAMOND alitumia ujanja gani ambao ata mimi napenda niujue hadi ikatosha kunakshia choo kizima hiyo dhahabu ya million 70, yenye gram 10, na ukubwa wa lita 0.000518.

Tujadili kitaalamu

&#8234;

11076271_734874059963370_2491583339657333722_n.jpg


 
Wanaojua kizungu tafadhali
 

Attachments

  • 1427309787867.jpg
    1427309787867.jpg
    43.8 KB · Views: 2,053
Na thread looote hilo umeshindwa kujua nini maana ya GOLD PLATED!!!! Kuna TV 80m itakuwa choo! Tatizo mkisikia choo mnawaza KUNYA!!! Choo ni zaidi ya KUN.YA na wengine kwenye nyumba zao choo ndio sehemu muhimu kuliko zote! Kuna makabati ya nguo humo,TV tena inaweza kuwa zaidi ya moja,music system na zagazaga zote zinazohusu usafi wa mwili na mavazi.
 
Na thread looote hilo umeshindwa kujua nini maana ya GOLD PLATED!!!! Kuna TV 80m itakuwa choo! Tatizo mkisikia choo mnawaza KUNYA!!! Choo ni zaidi ya KUN.YA na wengine kwenye nyumba zao choo ndio sehemu muhimu kuliko zote! Kuna makabati ya nguo humo,TV tena inaweza kuwa zaidi ya moja,music system na zagazaga zote zinazohusu usafi wa mwili na mavazi.

Bora umeongea mkuu.. unajua kuna thread kama iz zinatuaibisha sana watanzania...

tunaonekana kama washamba sana atujui chochote kwa waleta mada kama uyu mjamaa wa uswazi..
 
Back
Top Bottom