uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
Mie mwenyewe nimeacha domo langu waaaaazi baada ya kusikia kusoma hiyo ya jux!!!!
Bill Gates alitumia miaka 8 kukamilisha nyumba yakeHuyu jamaa anadai anahela ila nyumba katumia muda mwingi sana kujenga. Nyumba kawaida miezi sita imemalizika kabisa na umehamia.
Hiyo swimming ndogo sana, hakuna space kabisa
Amemalizia kujenga swimming pool tangu 2009!!
Hongera Diamond kwa Kumalizia swimming pool iliyokutesa kwa miaka mitano.
View attachment 236689
Haya nasubiri comment za wachawiiiii
Huyu jamaa anadai anahela ila nyumba katumia muda mwingi sana kujenga. Nyumba kawaida miezi sita imemalizika kabisa na umehamia.
Hiyo swimming ndogo sana, hakuna space kabisa
Hongera zake diamond platinum ila swali langu ni kwa nini unapanga hapo sinza??
Hebu tuwe wawazi hii nyumba paa lilikua likafumuliwa!?maana naona tofati au macho yngu tu
Ukistaajabu ya yamoto kuwa band pasipo kuwa hata na gitaa utayaona ya jux kumiliki ghorofa kwa single mbili.,,,Kwa wasanii yote yanawezekana..