Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Huyu jamaa anadai anahela ila nyumba katumia muda mwingi sana kujenga. Nyumba kawaida miezi sita imemalizika kabisa na umehamia.
Hiyo swimming ndogo sana, hakuna space kabisa

Mkuu lakini si nyumba imekwisha au? Swimming ni kwaajili yake na Zari inawatosha!
 
Hahahahahaha uknw am proud of you le super staa Diamond..uknw lepwanya road lazima wachonge uknw..
Uknw watu wengi ambacho hawajui ni kuwa mimi ndio nilishauri kujenga nyumba ya hivi uknw...
Uknw hii ramini nimempa mimi na nikama ya sebule yangu uknw....
Hahahahahaha i love it
 

Attachments

  • 1427025221924.jpg
    25 KB · Views: 1,197
Nyumba 10 bado anapanga
Usidhani wanaopanga wote hawana nyumba... wapo wanaopanga huku wakiwa na nyumba za maana kuliko hizo walizopanga... wachumi wanacheza na opportunity cost! Ikiwa una nyumba unayoweza kupangisha kwa sh. 5 million wakato sokoni zinapatikana nyumba za kupanga zilizo standard kwa sh. 2 million, mchumi hawezi kuishi kwenye hiyo nyumba ya sh. 5 million badala yake ataipangisha, 3 million anaweka mfukoni, 2 million na yeye anaenda kuwa mpangaji wa nyumba ya mwenzake!

Usipolifahamu hili, hutakaa uje kuifahamu biashara... na hapo ndipo ilipo tofauti kati ya mfanyabiashara wa kawaida na mfanyiabiashara mchumi... SHITUKA JOMBAA!
 
Nyumba 10 bado anapanga

Angalia mandhari ya nyumba, ukubwa wa nyumba, halafu shirikisha kichwa chako ujiulize ungekuwa wewe ungejenga kwa siku ngapi ukizingatia unategemea pesa za kuchangisha kwenye shoo tu. Hata hivyo kaachana na kupanga yupo kwake.

 
Nimefuta kauli
Hoyaa, hatwendi hivyo, hatufuti kauli kwa ku-edit ama kufuta post wewe, nimekurudishia kauli yako hii hapa:
Huyu jamaa anadai anahela ila nyumba katumia muda mwingi sana kujenga. Nyumba kawaida miezi sita imemalizika kabisa na umehamia. Hiyo swimming ndogo sana, hakuna space kabisa
Na habari rasmi ni hii hap












[/QUOTE]
 
sina neno maana siwezi kufika level zake ila na mimi ndio namalizia nyumba yangu nimetumia bundle 8 za bati za south nyumba yangu ni mita 13 kwa 12 ngoja nimfukuzie tuone japo sina jina
 
Kajenga mbali na mjini baada ya kununua hata nusu eka ndio ujenge ....unajenga kwenye kiwanja sqm 800 sijuu maana iyo nyumba ilivyo jibana ukuta unakaribia nyumba geti lina karibia nyumba....kwa ustar wake mmh hapana alompa ushauri kakosea

Mkuu nyumba ina nafasi ndio maana kapata nafasi ya kuweka swimming pool au wewe ujaona picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…