Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Chezeya ma haters maninaaaaaaaaaaaaaaa nfyuuuuu, ukuta kule, na bado mpaka nyumba yote ijae mafuriko maninaaa, nilitaka nishangae jamani yani leo siku nzima napata maumivu, atleast nimefarijika, kwikwiiiiiiiiiiikk
aaaahaaaaa we hamnazo kabisa ndio ivyo tena sijui ndio mafuriko au nini
 
Milioni sabini kwa ajili ya choo....sidhani...alie na utaalamu na construction ndio aeleze....au aweke BOQ hapa ndio tutaelewa tofauti na hapo bado naamini uongo huo
 
mnh sijui ni kweli au uongo,ila Diamond careful kuna kesho,wengi tu maisha yanawabadilikia inabaki kukumbuka zamani...acha kufuru mkuu

Hii ni nyumba yake, si ya kupanga wala ya kuazimwa, hata hiyo kesho akifilisika nyumba itabaki kuwa yake. Si kwamba atakosa kodi ya kulipa. Akikaa humo ndani hata asipokula siku tatu hana tatizo, ni nyumba yake. Hana stress za kodi.
 
Duh

Kweki wana jf wachawi

Wameangusha hadi ukuta

mwenzangu imeanguka upande mzima nyumba yote iko uchi hata kilichompata sijui nini ningekua naweza kuweka picha hapa ningeweka....subiri watu watakuja nazo
 
Chezeya ma haters maninaaaaaaaaaaaaaaa nfyuuuuu, ukuta kule, na bado mpaka nyumba yote ijae mafuriko maninaaa, nilitaka nishangae jamani yani leo siku nzima napata maumivu, atleast nimefarijika, kwikwiiiiiiiiiiikk

Duuuuh binamu hebu pata juice y ndimu upunguze kichefuchefu mana leo umevurugika hatari
 
i know for sure that isn't pure gold akadanganye wajinga
 
mnh sijui ni kweli au uongo,ila Diamond careful kuna kesho,wengi tu maisha yanawabadilikia inabaki kukumbuka zamani...acha kufuru mkuu

Juzi hapa aliambiwa anajifanya star huku anaishi nyumba ya kupanga,,,mkamtabiria kuwa Mr nice...Leo kawaonyesha mjengo mnaomba pooo eti kufuru.

Huu ushauri wako ungeutumua mwenyewe ungekusaidia zaidi. Ungeuza hio dhahabu uliozungusha kiunoni ukanunue ata tofali uanze walau kuinua chumba kimoja.
 
Duh watu wana wivu utadhani maisha yao aliyaingilia....mwacheni aishi atakavyo.

Hata Michael Jackson aliishiga kipindi nyumba ya kupanga akiwa na mapesa yote aliyokuwa nayo.

Muhimu ni unazungushaje pesa yako sio unaishi tu kwa mjumba unatumia kuikalisha vizuri.

Akili kichwani
 
Sasa akumbuke alikuwa anatafuta pesa ya nini?

Tunaishi mara moja acha ale bata na jitihada yake.

Kila mti akiwaza kula kwa mama mtilie basi hata reataurant hawataingia sababu eti ya alipotoka.
 
Statehouse imebomoka ukuta, dah inatia huruma😂😂😂
 
Attachments

  • 1427053019147.jpg
    1427053019147.jpg
    164.8 KB · Views: 3,132
Yaani kajua kuwachota akili na hicho choo cha gold mtaambiwa nyumba inathamni ya bil 2
Hahhhhahh
 
Juzi hapa aliambiwa anajifanya star huku anaishi nyumba ya kupanga,,,mkamtabiria kuwa Mr nice...Leo kawaonyesha mjengo mnaomba pooo eti kufuru.

Huu ushauri wako ungeutumua mwenyewe ungekusaidia zaidi. Ungeuza hio dhahabu uliozungusha kiunoni ukanunue ata tofali uanze walau kuinua chumba kimoja.

opinion are like as* holes, everyone has got one!....unanikataza nisimshauri Diamond,wakati hapo hapo unanishauri niuze cheni yangu ya kiunoni, wewe vipi?....kipi kinachokupa right wewe kunishauri kama unaona nakosea kumshauri Diamond?, na kwa akili yako namchukia Diamond mpk mie kusema vile sio?? sipo hapa kugombania kombe la mbuzi na wajinga wajinga km wewe.........hunijui sikujui, kajambe mbele hukoo.:tinfoil3:
 
Sasa akumbuke alikuwa anatafuta pesa ya nini?

Tunaishi mara moja acha ale bata na jitihada yake.

Kila mti akiwaza kula kwa mama mtilie basi hata reataurant hawataingia sababu eti ya alipotoka.

nyie endeleeni kumpotosha mwenzenu,aendelee kufukuzana na upepo......na km wewe au wenzio wanadhania nina ishu na Diamond,mtajijuuu....siko hapa kuwaconvince tofauti.
 
Milioni sabini kwa ajili ya choo....sidhani...alie na utaalamu na construction ndio aeleze....au aweke BOQ hapa ndio tutaelewa tofauti na hapo bado naamini uongo huo

what do you know about interior decorations?
 
Back
Top Bottom