aaaahaaaaa we hamnazo kabisa ndio ivyo tena sijui ndio mafuriko au niniChezeya ma haters maninaaaaaaaaaaaaaaa nfyuuuuu, ukuta kule, na bado mpaka nyumba yote ijae mafuriko maninaaa, nilitaka nishangae jamani yani leo siku nzima napata maumivu, atleast nimefarijika, kwikwiiiiiiiiiiikk
mnh sijui ni kweli au uongo,ila Diamond careful kuna kesho,wengi tu maisha yanawabadilikia inabaki kukumbuka zamani...acha kufuru mkuu
mwenzangu imeanguka upande mzima nyumba yote iko uchi hata kilichompata sijui nini ningekua naweza kuweka picha hapa ningeweka....subiri watu watakuja nazo
Chezeya ma haters maninaaaaaaaaaaaaaaa nfyuuuuu, ukuta kule, na bado mpaka nyumba yote ijae mafuriko maninaaa, nilitaka nishangae jamani yani leo siku nzima napata maumivu, atleast nimefarijika, kwikwiiiiiiiiiiikk
mnh sijui ni kweli au uongo,ila Diamond careful kuna kesho,wengi tu maisha yanawabadilikia inabaki kukumbuka zamani...acha kufuru mkuu
mnh sijui ni kweli au uongo,ila Diamond careful kuna kesho,wengi tu maisha yanawabadilikia inabaki kukumbuka zamani...acha kufuru mkuu
i know for sure that isn't pure gold akadanganye wajinga
Hongera Diamond kwa Kumalizia swimming pool iliyokutesa kwa miaka mitano.
View attachment 236689
Juzi hapa aliambiwa anajifanya star huku anaishi nyumba ya kupanga,,,mkamtabiria kuwa Mr nice...Leo kawaonyesha mjengo mnaomba pooo eti kufuru.
Huu ushauri wako ungeutumua mwenyewe ungekusaidia zaidi. Ungeuza hio dhahabu uliozungusha kiunoni ukanunue ata tofali uanze walau kuinua chumba kimoja.
Sasa akumbuke alikuwa anatafuta pesa ya nini?
Tunaishi mara moja acha ale bata na jitihada yake.
Kila mti akiwaza kula kwa mama mtilie basi hata reataurant hawataingia sababu eti ya alipotoka.
Statehouse imebomoka ukuta, dah inatia huruma😂😂😂
Milioni sabini kwa ajili ya choo....sidhani...alie na utaalamu na construction ndio aeleze....au aweke BOQ hapa ndio tutaelewa tofauti na hapo bado naamini uongo huo
Kesho imekuwaje? asipokuwa nacho mnasema, akiwa nacho nayo kesi...