unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Unajua mambo kama haya wengine tunabishana for funny na wala hakuna mtu ambae anaweza kumlazimisha mwingine aamini anavyoamini yeye ingawaje anaweza kuwa na ruhusa ya kutetea kile anachokiamini! Kinachochukiza, unakuta mtu hujamtukana mtu wala kumtolea lugha chafu lakini yeye anaibuka anaanza kukutukana! Kwa mfano, huyo mtu anayejiita unanitaka, nimepitia post zangu zote, sijaona popote nilipomtukana wala kumtolea lugha ya kashfa but pamoja na yote hayo, anaibuka na kusema Diamond ni bwan wangu! Nadhani unafahamu ni namna gani kwa mwanaume inaumiza kama sio kuchukiza mtu anakuambia mambo ya kipuuzi kama hayo na kwa bahati mbaya sana, mtu anapovuka mipaka ya uungwana huwa moja kwa moja na mimi nakosa uungwana! Mie mtu hata akisema nyumba yenyewe ina thamani ya sh. elfu hamsini, wala hainisumbui lakini akifikia kunitusi matusi ya kuchukiza, am always becoming impatient!
Hahahahahahaha acha lugha za maudhi kama hutaki kuudhiwa, ukinikejeli na mimi nakukejeli tu mzee, kama hupendi ligi heshimu maoni ya kila mtu