Dakika 1 krosi 10!

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Tukiendelea kusubiria serikali mpya chini ya uongozi mpya si vibaya tukapunguzia stress humu. Kuna wanaume ambao wakiachwa na mwanamke, haijalishi ni mke/demu wa mtu/best, wao lazima watupe neno la mahaba. Hawa ni silika, tabia ama udhaifu? Najua mnajua kuwa hawa watu wapo. Halafu bahati mbaya hutokea wakafanikiwa. Hii imekaaje
 
I never touch alcohols!
Inever touch extra-marital affairs!
Two things!
 
What did u touch, pj. It sometimes depends. Japo ni tabia mbaya kweli, hao wanawake wanashawishika na nini hasa
 
wana mapepo
 
Nasikia jk nae ni mzee wa krosi sana
 
hahahaa,kweli tunapunguza stress hapa for sure
 
Jk tutamwandalia kitu cha dokii kumpunguzia stress za kulikosa jumba jeupe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…