Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Tukiendelea kusubiria serikali mpya chini ya uongozi mpya si vibaya tukapunguzia stress humu. Kuna wanaume ambao wakiachwa na mwanamke, haijalishi ni mke/demu wa mtu/best, wao lazima watupe neno la mahaba. Hawa ni silika, tabia ama udhaifu? Najua mnajua kuwa hawa watu wapo. Halafu bahati mbaya hutokea wakafanikiwa. Hii imekaaje