Dakika 10 za moto hotuba ya Mwigulu Nchemba bungeni

Hatujalazimisha mazishi yaudhuliwe na watu wengi bali tunachojiuliza serikali ilisema atakaekufa na corona atazikwa na serikali, serikali inazika watu wengi tena usiku sasa kwanini tusiamini ni corona? Kama hukupata bahati ya kuangalia bbc dira ya dunia ya tarehe 28/04/2020 basi jitahidi uione nenda youtube halafu msikilize kwa makini yule jamaa aliyehojiwa na kikeke, jamaa wa arusha
 
Wewe humfaham Mwigullu au unajipendekeza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni muhimu kwa sasa tupate taarifa sahihi za ugonjwa huu.
Hii ndiyo sehemu ambayo serikali imefail.

Mwanzoni walianza na idadi ya wagonjwa na vifo hawakutoa idadi ya wanaopimwa. January alipouliza akaonekana msaliti ... Sasa wanatoa idadi ya wanaopimwa kwa siku halafu hawatoi idadi ya wagonjwa na vifo. Wkenya amedai kuna watu 50 wamekufa kwa huu ugonjwa serikali inakanusha bila kutoa idadi waliyonayo ..... Ndiyo maana kila mtu anajisemea lake!!
 
Bunge lilipaswa kuwa mubashara nyie kenge.
Hili hata Pascal Mayalla analijua.
 

Akili hauna wewe ivi unahisi kuzika tu ndo mkusanyiko usio walazima kuzika ni mkusanyiko wa lazima serikali makin ingezui bar club vijiwe vya draft na kahawa masoko na ibada za mikusanyiko unazuia watu wasizike ila unaruhusu wakusanyike bar no sense unafunga shule unaacha bar masoko na sehemu za ibada wake up in this they failed us


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
Mkuu Mohamed. Mimi nimekufahamu. Waswahili wengi hatujui kiswahili. Asante kwa ujumbe.
 
Rubbish
 
Huyu mwiguru hajaona Tanzia za watu maarufu zaidi ya 10 ndani ya siku zisizozidi 3. Hajui kuwa ndo waliokuwa na uwezo wa kwenda kutibiwa nje. Hivyo asisifu tu kwamba sasa watu hawaendi kutibiwa nje lakini pia asikitike kwamba idadi ya Tanzia kwa vigogo zimeongezeka sana kwa muda mfupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…