Dakika 10 za moto hotuba ya Mwigulu Nchemba bungeni

Unatupotezea muda kwa kuandika maneno mengi kumbe unasifia takataka Mwigulu Nchemba aka Lameck Madelu
 
Kama kuna Doctorates ( PhD's ) ambazo nazidharau na nitaendelea kuzidharau daima milele amina ni ya huyu Mwigulu Wenu.
PhD ya Mwigulu ni fake kama ya Magufuli tu. RIP Ben Saanane
 
Hivi hizi project za upandikizaji wa figo na upasuaji wa moyo zimeanza leo, hizo project zilianza toka kipindi cha uongozi uliopita ila zimekuja kukamilika kipindi hiki. Fatilia taasisi ya jakaya kikwete, hospitali ya benjamin mkapa udom na mloganzila.
 
Anajitahidi kurudisha Imani kwa mwenyekiti wa teuzi,aandae tu kazi zingine Jimbo anapewa kitilya Mkumbo.
 
Kama kuna Doctorates ( PhD's ) ambazo nazidharau na nitaendelea kuzidharau daima milele amina ni ya huyu Mwigulu Wenu.
Kuwa na PhD sio kuwa na reasoning capacity bali upimwa kwa output ya kile kitokacho mdomoni mwako
 

Hata ungeandika gazeti, ww Mwigulu sio mzalendo bali ni msaka madarakani kwa kuendekeza siasa chafu.
 
Kukaa Afrika nimejifunza mengi kwakweli. Thanks Africa
 
Takataka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwanini wazikwe na watu wamevaa PPE halafu usiku
 

Nikiona mtu kapotst refu hivi kusifia najua ni uharo tuuu. Sisomi ptyuuu
 
Ningependa kujua habari za huyo mama wa kitanga anayefanya taaluma ya upishi. Haya mengine sijui figo, moyo na ubongo sio mjadala kwa sasa. Kama corona sio tatizo nchini basi tutasubiri mpaka pale tutakapo elezwa changamo ya upumuaji ni ugonjwa gani?
 
Katika post yako hii nimejifunza kitu kimoja,kuwa bado hujaoa.jitahidi uoe acha kula ubanda
 
Ok thanks
 

Rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…