DAKIKA 5 BAADA YA CARBON MONOXIDE ALARM FIRE WAMEFIKA. KWETU BONGO MPAKA TUNGEKUFA HAWAJAFIKA..

DAKIKA 5 BAADA YA CARBON MONOXIDE ALARM FIRE WAMEFIKA. KWETU BONGO MPAKA TUNGEKUFA HAWAJAFIKA..

That's what's up.

North America na Europe watu wanajua wana small window ya weather, wakichelewa kidogo ma fall weather sijui ma winter schedule yanaingilia, inabidi waende fast.

Kule kwetu tuna jua zuri karibu mwaka mzima tunaona habari za "I will get to it tomorrow" kwa sana.

Hiyo carbon monoxide unayoisema wewe watu wanaibugia kila siku. Mpaka miili inaikubali tu kuwa kama hewa safi, damu inabadilika. Kudaadadeki.

Ukiwa na jiko la mkaa unapikia ndani tu, maana yake unabugia carbon monoxide.

Charcoal-burning suicide - Wikipedia

Mkaa unatoa carbon monoxide.

Halafu hatuna carbon monoxide alarms walafire alarms tunapeta.

Fire brigade mpaka litoke airport au bandarini.

Na tunaongeza Dreamliner na Bombardier hapo hapo.

Na ukitaka kununua nyumba Mbezi Beach ambako hakuna Fire Brigade bei kama Long Island.

Pia wenzetu wanachukulia maafa seriously. Nakumbuka one time niko Orlando vacation, tumefurumushwa hoteli nzima tutoke nje, kisa fire alarm.

Tukatoka nje wote, fire brigade wakaja kama dakika 15 wakaondoka, tukaendelea. Kwetu huko mtu anaweza kukaidi tu alarm akaizima, akaona inazingua, mpaka jengo linaungua.
Long time ago wakati ninasoma first degree nilikuwa na classmate kutoka Kenya. Alipata flat one bedroom. Kumbe gas ilikuwa ina leak nyumbani kwake.
Alikuwa anachoka sana akija shule lakini alikuwa anafanya kazi pia alihisi ni uchovu wa kazi.
Siku moja alilala hakuamka. Ninakumbuka polisi walinihoji kwakua alikuwa rafiki yangu. Kama kuna tatizo lililimfanya anywe sumu.

Post-mortem ndiyo ilisema alikuwa na high level ya carbon monoxide kwenye damu. Walichunguza flat na kugundua leakage. Msala aliubeba landlord.
 
Long time ago wakati ninasoma first degree nilikuwa na classmate kutoka Kenya. Alipata flat one bedroom. Kumbe has ilikuwa ina leak nyumbani kwake.
Alikuwa anachoka sana akija shule lakini alikuwa anafanya kazi pia alihisi ni uchochezi wa kazi.
Siku moja alilala hakuamka. Ninakumbuka polisi walinihoji kwakua alikuwa rafiki yangu. Kama kuna tatizo lililimfanya anywe sumu.

Post-mortem ndiyo ilisema alikuwa na high level ya carbon monoxide kwenye damu. Walichunguza flat na kugundua leakage. Msala aliubeba landlord.
Pole sana.
 
Nchi yetu changa my foot.

Tunaifukuza miaka 57 ya uhuru, hapo sihesabu kabla ya uhuru.

Juzi jengo limepata moto Dar ni aibu tupu, tena bahati ghorofa za chini.

Siku kitu kikiita ghorofa ya 20 sijui itakuwaje hapo.hi kwa kupenda kutegemea kudra sana.

Tunais
Mkuu tukifikisha miaka 200 km marekani tutakuwa sawa na wao km sasa
 
Mkuu tukifikisha miaka 200 km marekani tutakuwa sawa na wao km sasa
Nywrere alisema "we must run while they walk".

Angekuwa anasikia aspiration yetu ni kuwa walipo wao leo miaka 185 ijayo hilo litamfadhaisha sana.

Hiyo aspiration tu inafadhaisha.
 
Mkuu mbona tunakimbia?
Tatizo sisi tunakimbia na wao wanakimbia pia, hawasimami au kutembea.

Kwa miaka hii 50, walipotuacha na tulipoo hatupo pabaya, sema matarajio yetu ni makubwa kuliko uwezo tulio nao.

Tutafika mkuu, karibu na wewe uwe sehemu ya mbio hizi.
Nywrere alisema "we must run while they walk".

Angekuwa anasikia aspiration yetu ni kuwa walipo wao leo miaka 185 ijayo hilo litamfadhaisha sana.

Hiyo aspiration tu inafadhaisha.
 
Ingekuwa bongo wangesema siku zake zilifika na uchunguzi umeisha,Wenzetu hapo wameshaokoa vifo vingine kwa kuchunguza chanzo cha kifo chake.
Long time ago wakati ninasoma first degree nilikuwa na classmate kutoka Kenya. Alipata flat one bedroom. Kumbe gas ilikuwa ina leak nyumbani kwake.
Alikuwa anachoka sana akija shule lakini alikuwa anafanya kazi pia alihisi ni uchovu wa kazi.
Siku moja alilala hakuamka. Ninakumbuka polisi walinihoji kwakua alikuwa rafiki yangu. Kama kuna tatizo lililimfanya anywe sumu.

Post-mortem ndiyo ilisema alikuwa na high level ya carbon monoxide kwenye damu. Walichunguza flat na kugundua leakage. Msala aliubeba landlord.
 
Kwa miaka 60 ya uhuru hatuna hata first responder team fire truck zitoke airport kwenda kuzima moto town,speed haiwiani na miaka yetu toka uhuru. Hatuna dira wala vipaumbele kama nchi yani, kila ajaye anayake.
Mkuu tukifikisha miaka 200 km marekani tutakuwa sawa na wao km sasa
 
Wanakufa kwa majanga sie tunakufa kwa malaria na ukimwi au vipi? Ngoma droo [emoji23].
Lkn bado Wazungu wanakufa zaidi kwa majanga kuliko sisi, usiangalie jambo kwa upande mmoja tu!
 
Back
Top Bottom