Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Long time ago wakati ninasoma first degree nilikuwa na classmate kutoka Kenya. Alipata flat one bedroom. Kumbe gas ilikuwa ina leak nyumbani kwake.That's what's up.
North America na Europe watu wanajua wana small window ya weather, wakichelewa kidogo ma fall weather sijui ma winter schedule yanaingilia, inabidi waende fast.
Kule kwetu tuna jua zuri karibu mwaka mzima tunaona habari za "I will get to it tomorrow" kwa sana.
Hiyo carbon monoxide unayoisema wewe watu wanaibugia kila siku. Mpaka miili inaikubali tu kuwa kama hewa safi, damu inabadilika. Kudaadadeki.
Ukiwa na jiko la mkaa unapikia ndani tu, maana yake unabugia carbon monoxide.
Charcoal-burning suicide - Wikipedia
Mkaa unatoa carbon monoxide.
Halafu hatuna carbon monoxide alarms walafire alarms tunapeta.
Fire brigade mpaka litoke airport au bandarini.
Na tunaongeza Dreamliner na Bombardier hapo hapo.
Na ukitaka kununua nyumba Mbezi Beach ambako hakuna Fire Brigade bei kama Long Island.
Pia wenzetu wanachukulia maafa seriously. Nakumbuka one time niko Orlando vacation, tumefurumushwa hoteli nzima tutoke nje, kisa fire alarm.
Tukatoka nje wote, fire brigade wakaja kama dakika 15 wakaondoka, tukaendelea. Kwetu huko mtu anaweza kukaidi tu alarm akaizima, akaona inazingua, mpaka jengo linaungua.
Alikuwa anachoka sana akija shule lakini alikuwa anafanya kazi pia alihisi ni uchovu wa kazi.
Siku moja alilala hakuamka. Ninakumbuka polisi walinihoji kwakua alikuwa rafiki yangu. Kama kuna tatizo lililimfanya anywe sumu.
Post-mortem ndiyo ilisema alikuwa na high level ya carbon monoxide kwenye damu. Walichunguza flat na kugundua leakage. Msala aliubeba landlord.