Dakika 5 zimeongezwa za nini katika Mechi ya Ihefu FC na Yanga SC inayoendelea?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana.

Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee.

Hizi dakika 5 zimeongezwa za nini?
 
Unbeaten chained. Now lets go back to the drawing board[emoji854]
 
Tunaenda kuanza Moja ya un beaten na tutakuja kuivunja rekodi ya game 49.
 
Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana.

Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee.

Hizi dakika 5 zimeongezwa za nini?
Wewe umeshavuka hiki kiwango Mkuu, si wa kubamdika vitu vyepesi kama hiki. Samàhani Kwa lugha yangu lakini nadhani umenielewa namaanisha nini!
 
Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana.

Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee.

Hizi dakika 5 zimeongezwa za nini?
Hivi wewe jamaa unaishije na jamii yako iliyo kuzunguka?

Maana muda wote ni kulalamika, kunung'unika, kulia lia, kusononeka, kutukana!!
 
Ukitaka niache yote haya vua nikuweke.
 
Back
Top Bottom