GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wewe umeshavuka hiki kiwango Mkuu, si wa kubamdika vitu vyepesi kama hiki. Samàhani Kwa lugha yangu lakini nadhani umenielewa namaanisha nini!Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana.
Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee.
Hizi dakika 5 zimeongezwa za nini?
Au tunaitoa ihefu unbeaten inaendelea[emoji16]Tunaenda kuanza Moja ya un beaten na tutakuja kuivunja rekodi ya game 49.
Hivi wewe jamaa unaishije na jamii yako iliyo kuzunguka?Marefa wa Tanzania ni Wapuuzi na Wanafiki mno tu na Wanatumika vibaya sana.
Tegemeeni Goli kusawazishwa ili Kuibeba Yanga SC isifungwe na Unbeaten Record yao iendelee.
Hizi dakika 5 zimeongezwa za nini?
Ukitaka niache yote haya vua nikuweke.Hivi wewe jamaa unaishije na jamii yako iliyo kuzunguka?
Maana muda wote ni kulalamika, kunung'unika, kulia lia, kusononeka, kutukana!!
Lutindi mental hospital, unakuja lini? Niliahidi kukulipia kila kitu wakati wa matibabu yako.Ukitaka niache yote haya vua nikuweke.
Hauna Akili acha kunipotezea muda!!Lutindi mental hospital, unakuja lini? Niliahidi kukulipia kila kitu wakati wa matibabu yako.