kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
wastani wa bao moja kila dakika 30 watakuwa kila bao la mgeni walifika kileleni mara 3Shida ya shabiki ni furaha na maana ya furaha ni makombe zingine izi ni swagga tu wala hayaruhusu #nguvumoja#
Rage ana kila aina ya sababu ya kutembea kifua mbele kama kuku aliye nyonyolewa, kwa kuwaita mashabiki wa simba 'mbumbumbu' enzi zile alipokuwa Mwenyekiti/Rais wa timu.
Na ushahidi wa wazi, ni hiki wanacho kishangilia hao mashabiki!!
Mpo busy na mambo ya Rage na MO mnasahau team yenu chonde chonde Yanga fanyeni usajiliRage ana kila aina ya sababu ya kutembea kifua mbele kama kuku aliye nyonyolewa, kwa kuwaita mashabiki wa simba 'mbumbumbu' enzi zile alipokuwa Mwenyekiti/Rais wa timu.
Na ushahidi wa wazi, ni hiki wanacho kishangilia hao mashabiki!!
Na bado mtatia aibu zaidi mechi za kimataifa nyinyi vyura.Rage ana kila aina ya sababu ya kutembea kifua mbele kama kuku aliye nyonyolewa, kwa kuwaita mashabiki wa simba 'mbumbumbu' enzi zile alipokuwa Mwenyekiti/Rais wa timu.
Na ushahidi wa wazi, ni hiki wanacho kishangilia hao mashabiki!!
Sasa ile timu iliyoshiriki Cecafa unaweza kabisa kuihukumu kama Yanga kweli! Timu nzima hakuna hata mchezaji mmoja wa kikosi cha kwanza!! Maana hata Shikalo mwenyewe alicheza baada tu ya Dogo Kabwili kupewa kadi nyekundu..Mpo busy na mambo ya Rage na MO mnasahau team yenu chonde chonde Yanga fanyeni usajili
Wale mliocheza nao team yao kikosi cha ngapi?? 15 Aug CAF wanataka majina ya wachezaji watakao cheza mashindano ya kimataifa fanyeni hima kusajili ili msije kulalamikia waamuzi na TFFSasa ile timu iliyoshiriki Cecafa unaweza kabisa kuihukumu kama Yanga kweli! Timu nzima hakuna hata mchezaji mmoja wa kikosi cha kwanza!! Maana hata Shikalo mwenyewe alicheza baada tu ya Dogo Kabwili kupewa kadi nyekundu..
Msimu wa Ligi ukianza, na timu ikifanya vibaya, nitakuunga tu mkono.