kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Hawa ndugu zetu wanatutia aibu sana. Wakati tukipambana kulitafutia taifa heshima, wao walikuwa kamati ya mapokezi na kuwapa hisani wageni wa kila namna. Ila mwisho wa siku wageni walitupa heshima na tumeendelea kubaki nayo.
Jana walifanya mchezo mbaya zaidi wa kumkirimu mgeni hadi akamaliza pakti moja ndani ya dakika tisini. Naamini huu mchezo wataendelea kuufanya kwenye michuano ijayo ya kimataifa kwani sasa hivi wanahangaika na kumtetea mtu aliyekuwa akiwatukana.
Nawashangaa kweli vikombe hampendi mnapenda vitu vya ajabu ajabu kweli!