Dakika arobaini (40) za Bernard Morrison, Lomalisa mutambala na Shabani Djuma zinatosha kabisa kuwateketeza waarabu (USM Alger) Nyumbani kwao

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mtasemaa yoteee mbna mda badoo.
 
nimeanza kudoubt uwezo wa aziz kii. pia, mzize asiende kabisa uarabuni anapoteza tu nauli, miguu mizito utafikiri ngongochi. morison aanza, mayele, na wengine.
 
Matamanio kila mtu anayo. Tatizo uwezo na uwezekano.
 
Halafu muda huo waarabu wanawaangalia tu wao hawana utaalamu wowote.
 
Mna kelele nyingi Sana. Mna ushamba wa mafanikio. Kuwatoa Marumo iliyoshuka daraja mnajiona masuper star.
 
Kama vile waarabu wao hawana kikosi au wataingia watatu uwanjani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao si ndo waliingia timu ikafungwa.

Huyo Morrison akianza tu huko ugenini mjue mtamaliza game pungufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…