Dakika chache za kuamua uwe Maskini /Tajiri

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,001
Reaction score
2,010
Habari za muda huu wanajamvi.
Katika harakati zetu za utafutaji Kuna mambo mengi hautokei, mengi hutuimarisha lakini hata kutuvunja moyo pia.

Naamini Kila anaepambana awe mwanaume/mwanamke, lengo Huwa nimafanikio katika uhuru wa kifedha.

Sasa Kuna Ile Hali sijui niite kucheza karata muhimu, Yani The Last kadi ambayo inaweza kuamua maisha yako yakabadirika mara Moja na kuwa mtu mwingine kabisa.

Najua Kila mtu Kuna anachokiamini.

Kuna wengine wanaamwamini Mungu, kupitia dini zao hivyo Kila changamoto anayokutana nayo humshirikisha Mungu akiamini ndio msaada pekee katika jambo lake.

Ila pia wapo wanaoamini ushirikina kama njia ya kujinasua katika changamoto zao.

Anyways labda nitoe ushuhuda kupitia Mimi, Mwaka 2018...nilipata deal Moja la kuuza kiwanja katika beach plot Moja maeneo ya kigamboni; Inshort ilo eneo lilikuwa likiuzwa muda mrefu sana bila kupata mnunuzi, madalali wameshalipambania lakini ikashindikana, hii ni kutokana na ukubwa wa bei iliyokuwa likiuzwa, lilikuwa na sqmt 2600 na lilikuwa na hati miliki kutoka ardhi, bei ilikuwa 1.7B.

Sasa nikiwa naendelea biashara zangu Kuna jamaa yangu alikuwa dalali maarufu kigamboni, sasa hivi ameshafariki (Mungu amrehemu) katika story aligusia hiyo issue na Mimi nili notes lakini sikuitilia maana.

Sasa katika harakati zangu nikakutana na jamaa akaniuliza unafahamu eneo la beach plot kuanzia sqrmt 2000 Kuna mhaya anatafuta Kuna jamaa yake mkenya anataka kujenga hotel.

Na Mimi pale pale nikakumbuka Kuna eneo jamaa (Dalali) aliniambia, nikamvutia waya, vip lile eneo lipo maeneo Gani, jamaa akanielekeza akiamini kabisa hakuna mteja anawezafika bei maana zaidi ya miaka mitatu mteja hapatikani.

Nikaenda kwanza kulikagua nilipojiridhisha, nikampigia simu jamaa amlete huyo mtu wake.

Aisee jamaa akaliangalia akasema hiki ndio kitu nakitafuta, akatoa ahadi baada ya wiki Moja atatutafuta tujue namna ya kufanya biashara.

Tukabadilishana mawasiliano, jamaa akatoa 100k kama posho tukagawana na jamaa yake 50k per each Kila mtu akaendelea na harakati zake.

Aisee shughuli ikabaki Mimi ni namna Gani naweza kumjua mmiliki pasipo madalali kusanuka😊

Sasa nikapata akili nitafute mtu boshen ajifanye mnunuzi na Yupo serious, ili tuweze kapata mawasiliano ya mmiliki wa eneo.

Zoezi likaenda vizuri kabisa ingawaje huyo dalali alienikutanisha nae kwenye eneo Ali m guarantee awezi kufanya biashara bila yeye kuwepo. Kumbuka udalali una 10% hivyo tunafukuzia 170M hata wakipunguziana hatuwez kosa 150M na mwenye Eneo ni Tajiri kwake hiyo sio issue.

Sasa bwana yule jamaa mkenya, alinipigia simu siku ya J5, akaniambia J3 nimtaarifu mwenye Eneo wakutane bank ya CRDB posta yeye atakuwa na mwanasheria wake tayari kwa kufanya biashara hivyo awe na documents zote stahiki.

Hii siku siwez isahau kwa namna nilivuokuwa najisikia.

Nikampigia simu jamaa alieniunganisha nikamwambie Tajiri Yupo serious Hana longolongo hvy mambo yakikaa mkao, tunaweza badilisha maisha yetu.

Aisee niliona siku hazisogei kuifikia J3, Nilimpigia mwenyeeneo nikamwambia J3 jamaa kasema muonane kwa ajili ya kuweka mikakati sawa ila ni vizuri ukawa full maana biashara inaweza kufanyika. Nilisema hvy ili asiwasanue madalali. Ile siku inafika, ndio mpaka Leo siamini kilichotokea.

Kuanzia asubuhi nilipiga simu kwa Tajiri haikuwa inapokelewa, baada ya muda kidogo uliingia ujumbe nipo kwenye kikao nitakupigia.

Nikasema nijiongeze niende mpaka posta pale CRDB mkapa Tower, nilishikwa na butwaa kuiona Ile gari ya Mkenya Ford Ranger rangi ya gold imepaki nje, Kila niliyekuwa namtafuta anahusika kwenye Ile deal alikuwa hapokei simu.

Nikaamini hapa nazungukwa. Baada ya kama wiki Moja na siku kadhaa watu wakanisanua lile Eneo limeuzwa kweli na yule jamaa alieniunganisha kanigeuka hvy amekula hela na madalali jamaa namuona mtaani anatembelea Harrier Tako la nyani, siku nilikutana nae baa aliishia kunipiga mtungi na kunipa 50k ya mafuta🤣🤣🤣. Ila sasa hivi ameshafariki R.I.P master ila ulijua kuninyoosha.

Jamani hebu tupeane Mikasa inayofanana na hii.
 
Niliuzaga hekari 27 kama winga enzi nimeacha ajira na kujiajiri uwinga mwaka 2019. Tajiri kanipa shamba mwanambaya,Mkuranga anataka milioni 3 kwa kila hekari. Nimepost kwenye chanel zangu za kimataifa, mteja kapatikana mtanzania anaafanya kazi airtel tawi la Africa Magharibi (Gabon). Mteja huku na huku kasema ana milion 2.9, juu ya hapo biashara ingoje mwakani. Na pesa haikai. Kwa kuwa tajiri kaniahidi laki 2 kwa kila hekari,nikaona deal siiachi. Nikamwambia tajiri mteja kapatikana kwa pesa unayotaka.Nikamwambia na mteja tajiri kakubali,basi akatuunganisha na mkewe yuko Tanzania, akamtumia dola kupitia KCB bank, akazichenji. , tukakutana posta kufanya mkataba. Hapo namtonya bosi kwenye laki 2 zangu za commission anipe laki laki .Naye boss alizidiwa kiuchumi kanishukuru kuleta mteja.Nikakunnja 2.7 ml ,case closed.
 
Bora yako ilienda poa
 
nilichogundua hizi deal,usiweke tamaa mbele.Na mwisho ikikariribia kutiki muweke dalali kiurafiki
Ni kweli kabisa ingawa Mimi lengo langu halikuwa kidhulumu ila sikutaka watu wengine wamjue mnunuzi wasinigeuke
 
Habari za muda huu wanajamvi.
Katika harakati zetu za utafutaji Kuna mambo mengi hautokei, mengi hutuimarisha lakini hata kutuvunja moyo pia.
Naamini Kila anaepambana awe mwanaume/mwanamke, lengo Huwa nimafanikio katika uhuru wa kifedha.
Sasa Kuna Ile Hali sijui niite kucheza karata muhimu, Yani The Last kadi ambayo inaweza kuamua maisha yako yakabadirika mara Moja na kuwa mtu mwingine kabisa. Najua Kila mtu Kuna anachokiamini.

Kuna wengine wanaamwamini Mungu, kupitia dini zao hivyo Kila changamoto anayokutana nayo humshirikisha Mungu akiamini ndio msaada pekee katika jambo lake.

Ila pia wapo wanaoamini ushirikina kama njia ya kujinasua katika changamoto zao.

Anyways labda nitoe ushuhuda kupitia Mimi, Mwaka 2018...nilipata deal Moja la kuuza kiwanja katika beach plot Moja maeneo ya kigamboni; Inshort ilo eneo lilikuwa likiuzwa muda mrefu sana bila kupata mnunuzi, madalali wameshalipambania lakini ikashindikana, hii ni kutokana na ukubwa wa bei iliyokuwa likiuzwa, lilikuwa na sqmt 2600 na lilikuwa na hati miliki kutoka ardhi, bei ilikuwa 1.7B.
Sasa nikiwa naendelea biashara zangu Kuna jamaa yangu alikuwa dalali maarufu kigamboni, sasa hv ameshafariki (Mungu amrehemu) katika story aligusia hiyo issue na Mimi nili notes lakini sikuitilia maana.

Sasa katika harakati zangu nikakutana na jamaa akaniuliza unafahamu eneo la beach plot kuanzia sqrmt 2000 Kuna mhaya anatafuta Kuna jamaa yake mkenya anataka kujenga hotel.

Na Mimi pale pale nikakumbuka Kuna eneo jamaa (Dalali) aliniambia, nikamvutia waya, vip lile eneo lipo maeneo Gani, jamaa akanielekeza akiamini kabisa hakuna mteja anawezafika bei maana zaidi ya miaka mitatu mteja hapatikani.

Nikaenda kwanza kulikagua nilipojiridhisha, nikampigia simu jamaa amlete huyo mtu wake.

Aisee jamaa akaliangalia akasema hiki ndio kitu nakitafuta, akatoa ahadi baada ya wiki Moja atatutafuta tujue namna ya kufanya biashara.

Tukabadilishana mawasiliano, jamaa akatoa 100k kama posho tukagawana na jamaa yake 50k per each Kila mtu akaendelea na harakati zake.

Aisee shughuli ikabaki Mimi ni namna Gani naweza kumjua mmiliki pasipo madalali kusanuka😊

Sasa nikapata akili nitafute mtu boshen ajifanye mnunuzi na Yupo serious, ili tuweze kapata mawasiliano ya mmiliki wa eneo.

Zoezi likaenda vizuri kabisa ingawaje huyo dalali alienikutanisha nae kwenye eneo Ali m guarantee awezi kufanya biashara bila yeye kuwepo. Kumbuka udalali una 10% hivyo tunafukuzia 170M hata wakipunguziana hatuwez kosa 150M na mwenye Eneo ni Tajiri kwake hiyo sio issue.

Sasa bwana yule jamaa mkenya, alinipigia simu siku ya J5, akaniambia J3 nimtaarifu mwenye Eneo wakutane bank ya CRDB posta yeye atakuwa na mwanasheria wake tayari kwa kufanya biashara hivyo awe na documents zote stahiki.

Hii siku siwez isahau kwa namna nilivuokuwa najisikia.

Nikampigia simu jamaa alieniunganisha nikamwambie Tajiri Yupo serious Hana longolongo hvy mambo yakikaa mkao, tunaweza badilisha maisha yetu.

Aisee niliona siku hazisogei kuifikia J3, Nilimpigia mwenyeeneo nikamwambia J3 jamaa kasema muonane kwa ajili ya kuweka mikakati sawa ila ni vizuri ukawa full maana biashara inaweza kufanyika. Nilisema hvy ili asiwasanue madalali. Ile siku inafika, ndio mpaka Leo siamini kilichotokea.

Kuanzia asubuhi nilipiga simu kwa Tajiri haikuwa inapokelewa, baada ya muda kidogo uliingia ujumbe nipo kwenye kikao nitakupigia.

Nikasema nijiongeze niende mpaka posta pale CRDB mkapa Tower, nilishikwa na butwaa kuiona Ile gari ya Mkenya Ford Ranger rangi ya gold imepaki nje, Kila niliyekuwa namtafuta anahusika kwenye Ile deal alikuwa hapokei cm. Nikaamini hapa nazungukwa. Baada ya kama wiki Moja na siku kadhaa watu wakanisanua lile Eneo limeuzwa kweli na yule jamaa alieniunganisha kanigeuka hvy amekula hela na madalali jamaa namuona mtaani anatembelea Harrier Tako la nyani, siku nilikutana nae baa aliishia kunipiga mtungi na kunipa 50k ya mafuta🤣🤣🤣. Ila sasa hivi ameshafariki R.I.P master ila ulijua kuninyoosha.

Jamani hebu tupeane Mikasa inayofanana na hii.
We naye ulikuwa kama fala , ni nini kilikushinda kumpanga mmiliki wa eneo ili wewe na yeye mpige mchongo kimya kimya ?
 
Haikuwa rahisi kama unavyofikiri, mmiliki nafikiri ndio alihalibu mambo baada ya kuwasanua madalali
 
Hakuna binadamu mwenye guarantee ya maisha lakini kwanini madalali vifo vyao ni ghafra sana, why?
 
Daaah wake za watu hawa....
Wakuu hivi huwa mnashindwa wapi ,????
 
Back
Top Bottom