Dakika chache za kuamua uwe Maskini /Tajiri

Hilo wala usilaumu , maana hata wewe ulitaka mzunguka dalali .

Kuzungukana sio kuzuri , ndio maana tunasikia watu wameuana au mtu kauawa watu hawajachukua kitu

Dhuruma si nzuri ,
Huyo akiekudhurumu Mungu amrehemu huko , maana haijamsaidia , hivi vitu tunabiacha hapahapa
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…