Dakika ya 48 Simba mtuunge mkono kwa makofi

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Jumaane ijayo wananchi tunaenda kusimama uwanjani na kupiga makofi ya pongezi kwa kocha,benchi la ufundi ki ujumla pamoja na wachezaji wote kwa kuelekea kutimiza michezo 48 pasipo kufungwa.

Kwakuwa jambo hili sasa linaenda kuwa la kitaifa tuombe tu wananchi wote wana yanga na wale wa timu ya msimbazi sote tushirikiane katika tendo hili la kishujaa,tuwe wazalendo.

Niwakumbushe tena mche,o ni jumanne saa kumi jioni wananchi wote mkiwamo nyie wa simba mliopo huku singida kwa uwingi wenu na popote pale mlipo mshiriki kikamilifu katika zoezi hilo ifikapo dkk ya 48.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ivi game na al ahal haikuwa yenu.? Au mi ndo sielewi.
 
Hakikisheni mnapga makofi Hadi dk 90
 
Kama mwanasimba nakuunga kwa hili mchezo ni furaha na tuoneshe uzalendo. Hingereni sana Yanga tuna la kujifunza kutoka kwenu
 
Sisi wana SeMBe tunatamani tuanzishe ya kwetu. Lakini kila tukiiangalia timu yetu tunaona hatuwezi kufika hata nusu ya mechi za Utopolo tutajikuta tunaanza MOYA.
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
 
Hawatachelewa kuja na zile porojo zao za match fixed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…