babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Wale Mliyosoma Cuba mtakuwa mmeelewa.
Uzi tayari.....
Uzi tayari.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipaji bila akili ni makamasiHahahaha. Jamani shule nayo ina kaumuhimu kake
Kabisa. Yaani kacheza yanga miaka yoote timu inaenda makundi yy anakimbia kambini sasa dunia itakuonaje amiii! Sasa ivi nani angejua labda Feisal angekuwa kwenye rada za mamelod au timu yoyote kubwaKipaji bila akili ni makamasi
Mjinga sana huyu dogo, wenzie wanatoka kiaina.Mtoto mjinga sana yule. Binafsi nilikuwa namkubali sana.
Mkataba wake aliosaini unataka alipwe ngapi? Alishikiwa bunduki Ili asaini? Je amemaliza kuutumikia mkataba wake?Mpeni mihela kama mnayompa morison na kifunguo muone kama hajarudi jangwani,mbakuwa kama kanji wa simba sport acheni ubahili.
Tekbiir.Madhara ya kuendekeza Madrasa tu bila elimu dunia